Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

hahhaa ayanda mie nakupendea hapo tuu....ila huyu mbona alishawahi kuwa anagegedana na kijana mmoja na akaja hapa anataka ushauri kama ambwage kijana apate mzee mwenye wadhifa. So naona hapo kwake kupitiana mbavuni na kugegeda/dwa nje ni poa tuu

ah huyu tatizo lake anagegedana na watu ili kulipiza na pia hajajua kwamba raha inabidi ajipe mwenyewe na sio mtu yeyote. Ndo mana basi atabadilisha akitafuta wa kumpa happiness badala ya kubeba mzigo wake(mume mhuni) huku akijipa raha taratibuuuuuuuuuuuuu

ah hebu ngoja niishie hapo
 
Pole sana na huyu bingwa wa mahesabu anaonekana ameanza muda mrefu hiyo kazi, peleka shauri kwa wasimamizi wa ndoa
ni mapema sana kupeleka swala hili kwa wasimamizi wa ndoa!huwezi kukimbilia kutoa mambo kabla ninyi wenyewe hamjakaa na kuliongelea,huenda linaongeleka!akae atulie then waliongee kwa kina na mwenzie!ikishindikana hapo sasa anaweza kupiga hatua nyingine mbele!
 
aibu tena! Ngoja siku umkute anamkiss papuchi huyo mwanao ndo utajua aibu ina rangi gani. Unanyamazia ushenzy?!

mh sasa huyo wa kumharibu mtoto sio mzima kichwani, hapo ndoa lazima uibwage tu! Na hata kama utaongea vipi hataacha for sure! Mtu huacha tabia mbaya yeye mwenyewe toka moyoni mwake na si kwa kulazimishwa kamwe. Pia kuongea sana ni kelele ndani ya nyumba badala yake mtashindwa hata kufanya maendeleo sababu akiri yote umeiweka kwenye uzinzi wa mumeo! Cha msingi, ni amani na maelewano ndani ya nyumba na heshima hata kama ni ya kinafiki.
 
Well, naona umejibu vyema maswali yangu...
Nilikuuliza maswali hayo ili nipate namna nzuri ya kutoa ushauri wangu kwako.
Kama ulivyobainisha, kitu pekee kilichokuponza ni kuolewa kwa kufuata maamuzi ya tamaa.
Kabla hujafikia maamuzi ya kuondoka, hebu changanya akili kidogo. Nimeona kama umesema huyo mumemo ni "mdosi".
Hakikisha kwa kutumia hela zake iwe kwa kumuomba au kwa umafia nunua kiwanja na ujenge nyumba kwa Title yenye jina lako.
Kisha ukishayafanya hayo basi ndiposa uchukue maamuzi magumu ya kuondoka.

ndicho ninachokisubiri hapa nikamilishe kwa miaka 3 iliyopita navumia
 
mh sasa huyo wa kumharibu mtoto sio mzima kichwani, hapo ndoa lazima uibwage tu! Na hata kama utaongea vipi hataacha for sure! Mtu huacha tabia mbaya yeye mwenyewe toka moyoni mwake na si kwa kulazimishwa kamwe. Pia kuongea sana ni kelele ndani ya nyumba badala yake mtashindwa hata kufanya maendeleo sababu akiri yote umeiweka kwenye uzinzi wa mumeo! Cha msingi, ni amani na maelewano ndani ya nyumba na heshima hata kama ni ya kinafiki.

sitaki tena kuongea na yeye dats y nimenyamaza cjamuuliza, nlishaongea sanaaaaaaa kuongea hakuna maana tena katka maisha ni kupeana strees tu na kuumizana zaid
 
Wanawake wengine sijui mna akili ya aina gani,hivi heshima ya ndoa ni nini?
'
Mtu anakucheat bado unamng'ang'ania tu,hivi wanaume wameisha duniani?Unadhani kuna siku atabadilika baadae?
'
Hebu mjiamini,acheni umbulula,mtu akishacheat ni kama simba kula nyama ya binadamu,hatoacha kamwe!
 
mh sasa huyo wa kumharibu mtoto sio mzima kichwani, hapo ndoa lazima uibwage tu! Na hata kama utaongea vipi hataacha for sure! Mtu huacha tabia mbaya yeye mwenyewe toka moyoni mwake na si kwa kulazimishwa kamwe. Pia kuongea sana ni kelele ndani ya nyumba badala yake mtashindwa hata kufanya maendeleo sababu akiri yote umeiweka kwenye uzinzi wa mumeo! Cha msingi, ni amani na maelewano ndani ya nyumba na heshima hata kama ni ya kinafiki.

Kwani anaetoa nguo hovyo nae ni mzima?
 
mweee ndoa hizi zinamambo jamani, watu huwa wanasema huo ni msalaba lakini huu wako my dear sijui nahisi ni chuma kimechanganywa na zege mwee! polee jamani wanaume chonde chonde
naamini kwa uwezo wa mungu mko wazima!

napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu ambayo huwa mnatoa humu mm n mdau japo huwa siyo mchangiaji sana lakini siyo mara ya kwanza kuleta matatizo yangu hapa na mkanisaidia,

kama utaweza kupitia topic zangu za nyuma utanielewa vizuri ila leo nimekuja na lingine
nimeolewa nina mtoto mmoja ana miaka 5 nimeolewa miaka 7 iliyopita, kipindi chote cha maisha yangu ya ndoa nimepitia mambo magumu sana kutokana na tabia ya ufataki aliyonayo mume wangu lakini mungu amenisaidia mpaka hapa nilipo,
, kama wiki 3 zilizopita kuna mtoto wa kike wa shangazi yake na mume wangu alikuja nyumbani kama kawaida huwa anakuja kutusalimia then anaondoka ila safari hii akawa amekaa sana nkamuuliza vpi unarudi au umekuja mjini kwa lengo gani akaniambia amechoka kukaa kijijini bora akae nyumbani anisaidie kazi za nyumbani nikamwambia sawa, tumekaa nikaona tuna shida ya mfanyakazi katika biashara yetu na yeye kwa elimu yake ndogo hiyo kazi anaiweza, basi nikamweleza mume nae akakubali tukaona kuliko akae nyumbani na kuna msichana wa kazi haina sababu, basi jana kaanza kazi na hiyo kazi anafanya hadi saa nne usiku then wanarudi na mjombaake ( yaani mume wangu)

jana usiku saa nne nikiwa ndo nataka nijilaze kitandani nilisikia gari la mume wang akiwa anarudi coz najua mlio wake, basi nikakaa kama dk 10 gari ipo nje nikajiuliza mbona hafungui geti aingize gar akili ikanijia labda anaongea na simu, nikalala zangu kama dk 20 mbele bado gari ipo silent nje, nikaamka nikatoka nje nikafungua geti taratibu nilishuhudia mume wangu akikisiana na huyo mtoto wa shangazi yake,niliishiwa nguvu nikamsogelea kuwaangalia vizuri bint akashtuka sana akataka kukimbia akashuka kwenye gari, nikamuuliza mnafanya nini hapa akaniambia wanafanya mahesabu nikamwambia mbona giza ebu leta hilo daftari la mahesabu mnalofanyia, akababaika akamuita yule bint akamwambia leta daftari akakimbia ndani chumbani kwake akajifungia akalala, nilistaajabu sana sikuamini nilichokina, mume wangu akaingiza gari ndani akaja chumbani jasho linamtoka sikumsemesha wala kumuuliza chochote nikalala,

leo asubuhi nilipoamka nikamwamsha yule binti nikamwambia ajiandae arudi kwao kajiandaa nikampa nauli nikamwambia asije tena nyumbani kwangu.
wapendwa kichwa kinaniuma na kinachoniuma siyo kuwakuta katika hali ile ila roho inaniuma mume wangu alipofikia ukiangalia yule binti ni ndugu yake wa damu kabisa ana miaka 17 tu, mume wangu ana miaka 47 mtu mzima, nimefikiria cha kufanya nakosa sina wa kumueleza naogopa mume wangu ni kiongozi nikisema kwa watu ni aibu natamani nifungashe niende kwanza nyumbani kwetu kwani naishi mbali na wazazi labda huyu mume atabadilika nikiondoka au nifanye nini msaada wenu jamani
 
Ndio maana nasema kila ndoa ina tofauti na nyingine. Wale ambao bado kuoa/kuolewa hizi ni changamoto za baadhi ya ndoa ila maisha ya ndoa ni matamu saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana kama unampata yule wako na wako peke yako. Back to topic sishahauri uikimbie au kuipa likizo ndoa yako kwani kufanya hivyo ni kumruhusu shetani kuendeleza mashambulizi. Cha kufanya ni kumwomba mungu ili akupe majibu stahiki ya ndoa yako kwani ushauri tunaotoa sisi ni kwa uwezo wetu wa kibinadamu ila yupo mungu mwenye kutoa majibu ya ndoa yako. Kumbuka tatizo la ndoa yako ni lako mwenyewe hata kama likijirudia kwenye ndoa ngapi bado litabaki kuwa la kwako na ndoa yako hivyo mungu aliyekupa hiyo ndoa ndiye atakayekupa njia muafaka ya kupambana na mitikisiko katika ndoa yako. Mungu akuongezee uvumilivu na kukupa hekima ya kutatua tatizo hili...AMEN
 
mtu anaharibu mtoto wa shangazi yake, ambaye anampa ugali wa shkamoo. wazazi wake wanakuamini kuwa unamtunza na kumlea na kumuonyesha njia ipasayo! afu unaona kama anaweza kutembea na mtoto mwingine wa kwake atamuacha. stuka, dhambi haishibi bwanaa!
mh sasa huyo wa kumharibu mtoto sio mzima kichwani, hapo ndoa lazima uibwage tu! Na hata kama utaongea vipi hataacha for sure! Mtu huacha tabia mbaya yeye mwenyewe toka moyoni mwake na si kwa kulazimishwa kamwe. Pia kuongea sana ni kelele ndani ya nyumba badala yake mtashindwa hata kufanya maendeleo sababu akiri yote umeiweka kwenye uzinzi wa mumeo! Cha msingi, ni amani na maelewano ndani ya nyumba na heshima hata kama ni ya kinafiki.
 
kwani anaetoa nguo hovyo nae ni mzima?

kwani anatoa nguo hovyo barabarani? Kama anatoa nguo ovyo sehemu husika na kwa watu stahiki mi sioni tatizo. Kwani si kaamua bwana na mwili ni wake, je kama anataka balanced diet ya sex afanyaje?
Ha jamani, mboo ni yake sasa why ikuumize akiri wewe? Kwani na wewe si una k yako bwana?

Ah hakuna jipya chini ya jua hili jamani
 
Jf neva borin
 
Huyu mwanaume mwache tu, usimuulize kitu,fanya yako, maana jitu zima kama hilo utaliambia nn likuelewe,kuwa bize na wanao,kama una marafiki toka nao out,jifurahishe nafsi yako,mu ignore for a while, im sure akiona hali hiyo atabadilika
 
mtu anaharibu mtoto wa shangazi yake, ambaye anampa ugali wa shkamoo. Wazazi wake wanakuamini kuwa unamtunza na kumlea na kumuonyesha njia ipasayo! Afu unaona kama anaweza kutembea na mtoto mwingine wa kwake atamuacha. Stuka, dhambi haishibi bwanaa!

hivi unjajua watoto wa siku hizi na wenyewe vimeo tena wengine ukiwaangalia miili yao utadhani ana miaka 30 kama mie, ukiongeza na utandawazi basi ndo kabisaaaaaaaaaaaa
pia inawezekana huo undugu wao si wa kivileeeeeeeeee si unajua.

Ha ha ha mi nilivyokua na 20 yrs nilikua nagegedana na kijana mmoja wenyewe tukitoka nje tunajulikana kama kaka na dada kumbe wapi! Na watu walikua wanaamini kwamba jamaa ni brother kumbe olaaaaa
ndo mana nasema pia undugu huo unaweza kua wa kichina
 
naamini kwa uwezo wa mungu mko wazima!

napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu ambayo huwa mnatoa humu mm n mdau japo huwa siyo mchangiaji sana lakini siyo mara ya kwanza kuleta matatizo yangu hapa na mkanisaidia,

kama utaweza kupitia topic zangu za nyuma utanielewa vizuri ila leo nimekuja na lingine
nimeolewa nina mtoto mmoja ana miaka 5 nimeolewa miaka 7 iliyopita, kipindi chote cha maisha yangu ya ndoa nimepitia mambo magumu sana kutokana na tabia ya ufataki aliyonayo mume wangu lakini mungu amenisaidia mpaka hapa nilipo,
, kama wiki 3 zilizopita kuna mtoto wa kike wa shangazi yake na mume wangu alikuja nyumbani kama kawaida huwa anakuja kutusalimia then anaondoka ila safari hii akawa amekaa sana nkamuuliza vpi unarudi au umekuja mjini kwa lengo gani akaniambia amechoka kukaa kijijini bora akae nyumbani anisaidie kazi za nyumbani nikamwambia sawa, tumekaa nikaona tuna shida ya mfanyakazi katika biashara yetu na yeye kwa elimu yake ndogo hiyo kazi anaiweza, basi nikamweleza mume nae akakubali tukaona kuliko akae nyumbani na kuna msichana wa kazi haina sababu, basi jana kaanza kazi na hiyo kazi anafanya hadi saa nne usiku then wanarudi na mjombaake ( yaani mume wangu)

jana usiku saa nne nikiwa ndo nataka nijilaze kitandani nilisikia gari la mume wang akiwa anarudi coz najua mlio wake, basi nikakaa kama dk 10 gari ipo nje nikajiuliza mbona hafungui geti aingize gar akili ikanijia labda anaongea na simu, nikalala zangu kama dk 20 mbele bado gari ipo silent nje, nikaamka nikatoka nje nikafungua geti taratibu nilishuhudia mume wangu akikisiana na huyo mtoto wa shangazi yake,niliishiwa nguvu nikamsogelea kuwaangalia vizuri bint akashtuka sana akataka kukimbia akashuka kwenye gari, nikamuuliza mnafanya nini hapa akaniambia wanafanya mahesabu nikamwambia mbona giza ebu leta hilo daftari la mahesabu mnalofanyia, akababaika akamuita yule bint akamwambia leta daftari akakimbia ndani chumbani kwake akajifungia akalala, nilistaajabu sana sikuamini nilichokina, mume wangu akaingiza gari ndani akaja chumbani jasho linamtoka sikumsemesha wala kumuuliza chochote nikalala,

leo asubuhi nilipoamka nikamwamsha yule binti nikamwambia ajiandae arudi kwao kajiandaa nikampa nauli nikamwambia asije tena nyumbani kwangu.
wapendwa kichwa kinaniuma na kinachoniuma siyo kuwakuta katika hali ile ila roho inaniuma mume wangu alipofikia ukiangalia yule binti ni ndugu yake wa damu kabisa ana miaka 17 tu, mume wangu ana miaka 47 mtu mzima, nimefikiria cha kufanya nakosa sina wa kumueleza naogopa mume wangu ni kiongozi nikisema kwa watu ni aibu natamani nifungashe niende kwanza nyumbani kwetu kwani naishi mbali na wazazi labda huyu mume atabadilika nikiondoka au nifanye nini msaada wenu jamani

He he he he he!!! Yamekukuta eeeh!!! Ndio dunia hiyo. Hayajaanza leo. Yalikuwepo, yapo, na yataendelea kuwepo. Wewe si wa kwanza na wala si wa mwisho kukutana na kisa kama hicho. Hayo aliyokuonesha ni manyunyu ya kiangazi. Jiandae kwa masika.

Back
Top Bottom