Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Lazima atakuwa Kiongozi wa kile Chama chetu pendwa cha fasta fasta
 
pole sana mkuu, sisi wanaume ni viumbe undefined sana.hapo amsha tuu uende ukarefresh akili kidogo
 
Pole sana kwa kukonda bila sababu,najua unampenda mmeo ila mpende zaidi ya hapo mwanzo,amino mmeo atatulia mpaka ushangae pia nawe kama una vitabia vya ajabuajabu badilika
 
Ukiondoka tu, umemuhakikishia kula wengine, pambana ukiwa ndani ya uwanja wa vita. Sio kukaa mbali
 
mwanamke au mwanaume akimfumania mwenzi wake anachaguzi mbili tu 1.uachike au kumuacha mke 2. mkae chini myamalize na msahau msonge mbele. kumbuka ukiamua kusamehe samehe kweli sio unasamehe lkn bado unakinyongo, akikuomba mgegedo unamtolea maneno nenda kwa hao malaya wako, ataenda kweli, akichelewa kurudi huulizi kwa adabu kama mke/mme ulikuwa kwa hao malaya wako ndio wamekuchelewesha si ungelala hukohuko, watamchelewesha na atalala kweli hukohuko.

ushauri wangu chagua moja kati ya hayo mawili.
 
pole sana..dah naumia maana uyo mumeo dizain kama mimi pigo izo za kudanga..ila sijawahi onesha mke wangu wala kufanya udanga nyumbani wala umri wangu haujaenda kiivyo...ila daah..kweli nenda kwenu ukapumzike japo mwaka..mumeo thamani kwake imeshuka..mtie dsplini
 
Usiondoke utamkuta kamuoa kabisa huyo binti kawa mother house [emoji536]
 
Back
Top Bottom