Nilichofanya leo Mlimani City



punguza jazba
 

Pengine alihitaji mkewe aje kufanya shopping ikabidi ampigie picha ili akifika asihangaike!
 
Hata Wastegate waliona viashiria kama hivi lakini wakadharau.. nasikia hata presidaa aliambiwa ila hawakutilia maanani ikaja kuwacost heavily. Ni muhimu kuwa makini katika kila kitu kusaidia taifa na wengine
 
Kwa hicho kivazi...huyo lazima atakuwa mfiadini
 
Mleta mada na wengine, baada ya kuisoma hii report: Undeleted Evidence...: Kenya's Westgate Mall False Flag

Na baada ya kuisoma mada yako, kuna uwezekano huyo jamaa alikuwa anafanya makusudi, kwanza jinsi alivyovaa, kuna kila uwezekano alikuwa anafanya makusudi yatokee yaliyotokea. A "rise attention", aonekane, apigwe picha awe "suspected" na hata akamatwe.

Chakujiuliza, kwanini?

Jamaa anaonesha yuko fit physically na anaonesha ni mtu wa mazoezi kwa posture zake tu.

Nnakupongeza kuliona hilo na atafutwe na afanyiwe uchunguzi wa kina.
 
Bila shaka kama angekuwa mzungu asingeangaika nae kilichompa utata ni ndevu na kanzu tunawaambia hatutaacha kuziachia ndevu na....
 
Ndugu Pongezi sana, Ulichofanya mimi nadhani ungekifikisha Mbele zaidi. Hayo majibu aliyotoa na kupelekea kufuta picha ni suspicious tosha kwa huyo jamaa kuwafanyiwa Interrogation zaidi kwa ajili ya kupata taarifa za kiintelejensia Kama issue nzima itawafikisha kwenye Ukweli huo. Big up man. Bong Security yetu bado sana, kwanza iko lagged behind na Technology.
 
Hawa walinzi wetu wa makampuni ya ulinzi wengi wao ni heri hata ya MGAMBO WA CITY kiufanisi:-(
 
Bila shaka kama angekuwa mzungu asingeangaika nae kilichompa utata ni ndevu na kanzu tunawaambia hatutaacha kuziachia ndevu na....

Acha nasi tuku harass tu..hamna namna nyingine,,
Maana ata kama mtu mkristo,,akivaa kama kadinali maeneo ya public service lazma ata raise attention...nasi tutachukua jukumu lakumhoji pembeni
 
hongera sana watu wengi hawajali usalama usalama wa nchi yetu hao askari ni wazembe hongera kwa hilo
 
mmh isije ikawa alshababu huyo anafanya uchunguzi kwa mda then anakinukisha? mmh nshaogopa tayari sigusi tena pale dadeki!
 
tena mkuu kama angekushtukia unampiga ungemwambia its A PRANK!!!
 
jamaa mwenyewe sura yake tu inamshitaki-ungemuitia polisi kabisa ili wadili naye na aongee vizuri hizo picha napeleka wapi,
 
Safi sana, Naona Magufuli anarudisha Uzalendo kwa vijana!
 
Tukio la westgate nikikumbuka shopping nitaendelea tu kununua vitu tandale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…