Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Hivi mnavidharau vyombo vyetu vya usalama?
Au mkiona ndevu tu mnajichatolia?
Hii inanikumbusha kisa cha Singh (singa singa) aliyeuliwa kwa ndevu zake tu baada ya Sept 11. Cha kushangaza katika picha zote zilizotolewa na intelijensia ya USA wale waliodhaniwa kuwa ndiyo wamezipiga zile nyumba za New York hakuna hata mmoja mwenye ndevu na kanzu fupi wala ndefu.
Wasiwasi wako ndiyo maradhi yako.
Hukufanya vibaya kwa kuwa na mawazo ya kizalendo na kujikinga, siku nyingine usitazame wenye ndevu tu na kanzu, wabaya hawana alama.
punguza jazba