bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,374
- 3,972
You never know, Westgate probably ilianza hivi hivi!
Never like that,yani waziwazi kabisa hvo?
You never know, Westgate probably ilianza hivi hivi!
Never like that,yani waziwazi kabisa hvo?
Wanafanyanga hivyo pia, refer to previous cases, targets za Nairobi na Dar embassies
nchi hii ya ajabu sana usishangae ukatafutwa na kufunguliwa mashtaka ya kutumia vibaya kamera ya cm yako na kumdhalilisha muwekezaji, sipati picha Kova akitoa maelezo ya makosa yako.


























ati muwekezaji...mmmm, maneno yako kuhusu mahafali. Yamenifanya niwaze sana kwamba picha zako hizi xitakuwa muhimu sanka...baada ya kuona hii na nikiwaza kwamba wiki ijayo kuna mahafali ya chuo cha udsm yatakayopelekea kuwa na watu wengi sio siri moyo unashtuka na kuingiwa na kahofu fulani...
We mnoko mbona na wewe ulimpiga picha bila ridhaa yake huoni kuwa hilo ni kosa kubwa zaidi? Pia wewe ni mbaguzi sana na ukienda nchi za watu utateseka sana.Habari wadau.
Leo majira ya Saa 8 mchana, nikiwa Maeneo ya Mlimani city napata mahitaji yangu Mara akatokea jamaa mmoja mwenye asili ya Asia, akiwa na kavaa nguo nyeusi juu mpaka chini na viatu na ndevu ndefu, begi mgongoni na camera mkononi.
Nikiwa pale maeneo ya game lango la kuingilia Game kulia kuna duka la nguo, mara akatokea huyo jamaa akaanza kupiga Picha Eneo la game kwa mbele, kisha akapiga Kwenye roof, pale Kwenye varanda ambayo watu wanapita kwa Juu kuna security camera jamaa akaipiga, kisha akapiga na sehemu za Dari.... Mi namiangalia tuu,kisha akaingia duka la nguo lililo karibu pale.
Nikaondoka kwenda kumwambia Askari pale Kwenye duka la nguo,akasema nae amemuona Ila anamcheki kwanza.
Jamaa kaingia Kwenye Duka la nguo kaangalia nguo za watoto 2kisha kazirudisha, mimi bado namiangalia tu. Akatoka akaingia game ndani, ndipo nami nikaenda kwa Askari wa Pale mlangoni game nikamueleza tukio zima, nikamwambia jamaa mwenyewe ameingia humu ndani.
Akaniambia nae amemuona akiingia ndani, nikamwambia namtilia Shaka kwanini apige Picha Maeneo hayo nilioyataja awali? Akamuita mwenzake kwa Radio call akaja nikamweleza.
Jamaa akawa anatoka pale pale akamsimamisha na kumuhoji maswali yafuatayo:
Tafsiri ya kiswahili chini;
Kwanini unapiga Picha humu?
Umepata wapi idhini ya kupiga Picha?
Nioneshe hizo Picha - Askari akaziona kama nilivyomwambia, akakuta na nyingine za ndani.... akamwamuru a delete zote.
Jamaa akafuta na kusema alikuwa analinganisha duka hili la Hapa Tanzania na Afrika kusini, kwa sababu yanafanana.
Una kibali? Hapana.
Mwisho Askari akamwachia.
Mimi nikamfuata Askari nikamuuliza kwanini umemuachia? Akanijibu Kama angekuwa na Silaha ndo wangebidi wamkamate. So wakamwambia aondoke haraka eneo lile.
Jamaa akatoka akaelekea mpaka pale Exim Bank, halafu akaanza kutembea kama mtu mwingine kuelekea Bureau de Change, nilivomuona tuu, nikatoa simu yangu fasta nikaenda kwa mbele pale Bureau de Change kama nakuja anapotokea nikawa nampiga picha kwa ubavu, na kwa nyuma na huku kama tunapishana vile, akaingia Toilet.
Nami nimo nikaenda huko huko, kufika tukafika pamoja tukakuta wanachomelea Ila watu wanamaliza tuu haja zao, akaniuliza nikamjibu you can proceed, then nikaondoka...
Hivyo tuwe waangalizi wa nchi yetu.
View attachment 305028View attachment 305029View attachment 305030View attachment 305031View attachment 305032
Suala la ulinzi na usalama wa Taifa haliwahusu vyombo vya ulinzi na usalama pekee yao, bali ni letu sote.We mnoko mbona na wewe ulimpiga picha bila ridhaa yake huoni kuwa hilo ni kosa kubwa zaidi? Pia wewe ni mbaguzi sana na ukienda nchi za watu utateseka sana.
Mmeaanza.Nahisi tatizo ni hiyo kanzu
Angekuwa mbongo usingefanya hayo, kweli?Suala la ulinzi na usalama wa Taifa haliwahusu vyombo vya ulinzi na usalama pekee yao, bali ni letu sote.
Fikiri kwa kutumia akili huru bila kutumia mitazamo ya kiimani.
Hata mbongo akiwa na viashiria hatarishi kwa Taifa au jamii, ni wajibu wetu sote kutoa taarifa kwenye mamlaka husika ili kuepusha maafaAngekuwa mbongo usingefanya hayo, kweli?
hapana huyu tumwite jack Ryan, una Kumbuka season 1 hahahaKama Jack Bauer vile