GAUTAMA
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 1,117
- 697
baada ya kuona hii na nikiwaza kwamba wiki ijayo kuna mahafali ya chuo cha udsm yatakayopelekea kuwa na watu wengi sio siri moyo unashtuka na kuingiwa na kahofu fulani...
Siendi
baada ya kuona hii na nikiwaza kwamba wiki ijayo kuna mahafali ya chuo cha udsm yatakayopelekea kuwa na watu wengi sio siri moyo unashtuka na kuingiwa na kahofu fulani...
We mtoto wa kike uliokosa mume hasira zako usituletee sisi. Laumu sura yako na malezi mabovu uliopewa.hongera kwa kujali usalama though naamini angekua mzungu ungechukulia poa. Waislam wana kazi kubwa sana ya kujivua tuhuma za ugaidi zinazowaandama kwaajili ya wachache.
Acha kuropoka kijana.mmh isije ikawa alshababu huyo anafanya uchunguzi kwa mda then anakinukisha? mmh nshaogopa tayari sigusi tena pale dadeki!
Ubaya ndiyo hauna alama ila matukio mengi ya maafa yanafanywa na watu wenye midevu na kanzu kama huyo mshukiwa. Kwa hiyo sioni point yako ya msingi zaidi ya kutaka kukataa ukweli kwamba waarabu ambao ni waislamu ndio wana probability kubwa ya kuwa magaidi.Hivi mnavidharau vyombo vyetu vya usalama?
Au mkiona ndevu tu mnajichatolia?
Hii inanikumbusha kisa cha Singh (singa singa) aliyeuliwa kwa ndevu zake tu baada ya Sept 11. Cha kushangaza katika picha zote zilizotolewa na intelijensia ya USA wale waliodhaniwa kuwa ndiyo wamezipiga zile nyumba za New York hakuna hata mmoja mwenye ndevu na kanzu fupi wala ndefu.
Wasiwasi wako ndiyo maradhi yako.
Hukufanya vibaya kwa kuwa na mawazo ya kizalendo na kujikinga, siku nyingine usitazame wenye ndevu tu na kanzu, wabaya hawana alama.
Wewee acha kuwafanya alshabab kwamba ni wapumbavu kiasi hicho. Yaani wavamie sehemu bila kufanya intelligence za mwanzo? Kupiga picha tu ni mbinu hatari kabisa za kufanya uvamizi sehemu fulani. Ndio maana kwenye kambi za jeshi ama maeneo ya serikali hairuhusiwi kupiga picha hovyo.Acha kuropoka kijana.
Toka lini alshabab wakapige picha ndio wavamie?
Jaribu kufikiri kabla ya Kuropoka.
Wale wakitaka Kuvamia Ni Kuingia tu, hawajali camera wala Ulinzi uliopo.
Manake wale hawapigania Kushinda bali wanapigana WAFE!
Sasa mwenye kutaka Kufa ana haja ya Kupiga picha?
Mitanzania Mtihani sana Aise.
Unafahamu sababu ya kuzuia Kupiga picha sehemu muhimu za serikali? Au unaropoka tu!Wewee acha kuwafanya alshabab kwamba ni wapumbavu kiasi hicho. Yaani wavamie sehemu bila kufanya intelligence za mwanzo? Kupiga picha tu ni mbinu hatari kabisa za kufanya uvamizi sehemu fulani. Ndio maana kwenye kambi za jeshi ama maeneo ya serikali hairuhusiwi kupiga picha hovyo.