Ni sawa kuwa na mashaka, ila kwa kupiga tu picha, tena mlimani city, si kitu cha kutilia shaka hats kidogo, sehemu km hizo duniani kote watu hupiga sana picha, haijalishi unapiga wapi, tena mmemdhalilisha sana Huyo jamaa, na amewaona washamba sana, mtu akitaka ramani ya hilo jengo ni rahisi tu, tena km ni gaidi, si kwakupiga picha, we ulivyompiga picha na kupost humu ulikuwa na lengo gani, unataka tuamini kuwa ni gaidi, au ulitaka kutuonyesha kuwa una simu ya maana, umenikera sana.