Mujahidina hawavai kanzu na wala hawafugi ndevu haswa kwenye matukio kama hayo..na mbinu zao ni za hali yajuu sio za kitoto kama iyo alotumia jamaa kukusanya data..huyo ni jamaa wa kawaida tu ila ndevu na kanzu ndizo zilizokupa shaka.
By the way hongera sana!!
Howrty Lady,Mimi na wewe ni Watanzania,
Umeinguza Suala la Imani,
Imani ya mtu haibadiliki kamwe sehemu yoyote Ile,na mwenye Imani thabiti ndo anaaminika....
Rastafarian hata akienda kanisani hanyoi Rasta Zake....
Huyo mjahidina unaemsemea akihitaji kwenda sehemu Hawezi kunyoa na Kubadili mavazi yake kisa asijulikane....Imani yake haimruhusu kubadilisha,Eti mpaka anyoe kisa asijulikane....
Anyway SIKUTAKA kuongelea suala la Imani.
Mi naongelea Usalama Nchi yetu,
Huwezi jua Mipango ya mbali ya watu wabaya ikoje....
Na huwezi jua Nani ataweza kuarhirika....
Mimi na wewe tuna wajibu wa kutoa Taarifa unapoona kuna Tukio ulilolitilia Shaka,
Then Itabidi kazi ya Mamlaka husika kufuatilia:
Jamani hebu muelewe,suala sio mavazi sio mavazi eboo,Au Rangi ya mtu,Suala Hapa ni sehemu aliokuwa anapiga Picha,mbona huzijadili hizo sehemu???
Sehemu ya mbele ya Game,security camera zile zilizopo Kwenye veranda zipo kwa Juu sehemu ambayo kwa chini kuna vibenchi watu huwa wanakaa na watu wengi huwa wanapishana,Ile veranda ndeefu from Exim bank inaishia Photo shop pale Au KCB sasa kwa Juu,sasa wewe unajadili ndevu na mtu na Rangi yake...Aiseee
Anaulizwa anasema anataka ku compare na South Africa game...,Hana kibali.
Kupiga Picha pale sio Tatizo nafikiri,watu wanapiga Selfie sana tuu lakini sio Eti kwa Juu,Mara ndani ya game Kwenye shelf...
Mwisho kaambiwa Futa,kafuta...
Jadili hayo,sio Rangi ya mtu...