ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,950
- 6,981
Sio Polisi ni security wa Mlimani city,ningeenda Polisi nisingefanikiwa kumfuatilia!
umepiga kazi nzuri, ningekuwa magufuri kesho tayari uko payroll ya tiss.
ungeongeza juhudi kidogo na kufuatilia amekuja kwa usafiri gani ikiwezekana ukachukua na reg no zake. then tukawapa gateway wana usalama kufuatilia kwa karibu.
mpaka hapo much respect