Nilichofanya leo Mlimani City

Nilichofanya leo Mlimani City

baada ya kuona hii na nikiwaza kwamba wiki ijayo kuna mahafali ya chuo cha udsm yatakayopelekea kuwa na watu wengi sio siri moyo unashtuka na kuingiwa na kahofu fulani...
 
attachment.php
 
waanaanza ualshabaab wake sasa huyo ulikiwepo na nakama haupo silu wanafanya yale ya kenya
 
hongera kwa kujali usalama though naamini angekua mzungu ungechukulia poa. Waislam wana kazi kubwa sana ya kujivua tuhuma za ugaidi zinazowaandama kwaajili ya wachache.

Sio Uislam Mkuu,soma Tena nilichoandika,kilochonisukuma kumfuatilia ni zile sehemu alizokuwa anapiga Picha!
Kuipiga Picha security camera location ilipo Kwenye Ile varanda kwa Juu Ile ambayo chini yake watu hupumzika,na wengine hupishana wakitembea sasa kwa Juu kuna security camera jamaa alikuwa anapiga,
Pili,zile venting Au AC nafikiri kwa Juu Pia jamaa alikuwa anapiga Picha na alipoambiwa tuonyeshe camera yako zikakutwa na zingine Akiwa ndani shelf,Eti anataka acompere na game ya South Africa Hilo jibu Mimi halikuniridhisha Mkuu,Hapa Bongo utakinganisha vingapi na Europe Au sehemu nyingine vinavyofanana?etc.mwisho akaambiwa afute akafuta.
Jamani wewe hujiulizi tuu???
Be fair&humanity friend.
 
acha woga kijana, huyo ni raia mtz kama wewe na hana lengo baya as your thought.
 
Back
Top Bottom