Niko njia panda, ushauri unahitajika

Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya.

Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu, nilibahatika kumpata mwenza wa First Year wa chuo fulani cha Mipango. Sasa tumedumu takriban miezi sita majuzi ananiambia amepima na anaujazito wangu.

Aisee nikicheki hata chuo bado sijamaliza kazi sina, nategemea tuhela twa boom (meal and allowance). Nimemwambia asitoe huo ujauzito maana ni dhambi kubwa hata sijui nifanyaje mwenzenu majukumu hayo. Nikiwaambia wazee ndo nitakosa msaada kabisa yaani najuta kumwagia ndani..niko njia panda mpaka nahisi dunia imefika mwisho kwangu..

Ushauri kwa vijana wenzangu msimwagie ndani.
Aisee we jamaa kuwa serious,
 
Mhhh mbona hatari na nusu wazee...bora aitoe tuu
C umesema dhambi,

Tamaaa huzaaa dhambi,na dhambi huzaaa mauti..kwasabab ya tamaaa zako unataka kuleta umauti.

Kitanda hakuzai haramu.. Wewe umefika mpk chuo unaogopa kisa umempa mimba,na sisi tuliozaa wapa. Mimba tukiwa form II,Tufanyeje...?

Acha utoto,nenda kapime ultrasound ujue INA miez mingap... Na upige hesab kama mwez huo mlikutana,kama kweli Jibane na boom...uleee mimba,

#alaf akili itakuwa uache kuogopa kulea uhai na kuona raha kuua# Kama ulimsikiliza umwagie ndani,basi msikilize ULEEEE#
 
Sawaaaaa
 
Next time tumieni Kinga hii kujidaganya eti unawahi kuzaa mapema sijui usilee uzeeni ni kujidaganya tu maisha sikuhizi yamechange everything is expensive tofauti na zamani tukiwa tunakua maisha yalikuwa simple tu ukienda hata shule za kawaida elimu nzuri, sikuhizi tu chekechea milion, bado mtoto kuumwa Mara nyingi hzo gharama, wewe mwenyewe utakuwa fresh graduate sikuhizi no jobs ka sikujitesa na kumtesa huyo mtoto ni kitu gani.

Kweli.mtt n kujipanga.
 
Back
Top Bottom