Niko njia panda, ushauri unahitajika

Kwanza hayo ni malipo ya ulichofanya. Jamaa acha uoga wasiliana na wazee wako home wape taarifa then mwambie binti huyo ndo mtoto wenu mkubaliane na hali halisi. Anza kupanga na kufanya michakato midogo ya kuingiza hela kutokana na hilo boom lako au hela unayotumiwa toka home kwenu ili uweze kujipanga taratibu kabla mimba haijawa kubwa. Hiyo ni baraka mzee haijalishi umekosea wapi. Jiamini kwa ulichonacho mzee alaf Mungu nae yupo muamini na changampto pia zipo hivyo hutakiwi kukata tamaa bali kusonga mbele. Komaa na masomo yako pia komaa na kutafuta mbinu ya kupata hela ukiwa bado unasoma mkuu. Msalimie mama Kijacho.
Thanks...narudia tena Asante nitaleta mrejesho humu humu panapo uhai..
 
Mdogo angu kaa chini tuliza akili mm kaka yako nakupa ushauri ufuatao.
1). Usitoe hiyo mimba mwache azae, gharama sio kubwa Sana Kama haina matatizo (kama haita msumbua). Usitoe narudia tena kuitwa baba kuna raha yake.
2). Kaeni chini mjiandae kulea hyo mimba, subir ifike miezi ya kuonekana kisha uwaambie wazazi wako maana labour process ina Mambo mengi vifo pia vinahusika either mama au mtoto au wote, (hatuombei hiv vitu Ila vinatokea so be careful).
3). Mpe Moyo Sana huyo bint, usimchukie Wala usimsumbue msikilize Sana kuliko mwanzo, onyesha upendo wa kutosha hata Kama ulikua na lengo la kupita. Hii itamsaidia Sana kisaikolojia yeye kua upo tayari kimajukumu pia itakusaidia ww kupanga mipango yako. Kwani na yeye atakusikiliza sana. (Hapa wanakua na maudhi fulani ya kiujauzito pia na kudeka kwingi na usumbufu fulani wa kimakusudi mpaka wanaboa, Ila yote wanapenda kuona wanajaliwa na kulindwa).
4). Anza kuweka boom lako kidgo kidgo pia hakikisha kila boom ukipata unajibana Sana na uanze kununua vifaa vya uzazi, (vitenge, kanga, baby shower, kofia, socks, mipira, nylon ya kujifungulia, nguo za watoto, andaa stock vyakula mapema. Hapa ndio penye umuhimu ndugu utakuja kunishukuru. Mambo yanakua mengi hasa nyama kavu kama unahic huna uchumi wa kutosha.
5). Hakikisha account yako isiwe chini ya laki 3. Maana ikitokea operation matumizi ya pesa yanaongezeka.
6). Kama anakaa hostel mtoe mpangie chumba Ila ww usikae nae. Ila mtembelee Mara kwa Mara, na papuchi iliwe Kama kawaida, tena kiroho safi kwa nguvu zote, tia Sana kipindi hiki, narudia tena tia Sana mzee utanue njia (hii niliambiwaga mm coz bint alikua anamiaka 18, nikaambiwa nitie sana na nikatia kweli na alijifungua salama sijajua Kama nikweli Ila nilikua Sana papuchi kipindi hiki, na wanapenda kuliwa Sana, hua ananikumbusha mpka leo kua nilimla Sana kipindi anaujauzito)
7). Mwandae mtu wa kumsaidia miezi ya mwishomwisho, Kama wote mtakua chuo, mwandae mama mtu mzima ndo itakua vzr zaidi Wana Moyo sana hawa watu, wanajua uzazi ni nn.
NB: Hapo najiandaa kuyakabili majukumu yako. alijifungua salama no raha Sana kuona kila mtu anambeba mtoto wako.
Asante bro...ila hio tia sana mhhhh
 
I admit ni mistake nimefanya mkuu,ila mkuu hakuna ambaye hajawahi fanya makosa.
Ndiomaana nakushauri tu upambane na hicho kigongo hadi uhakikishe umepangua... Maana hata sisi wengine tuliwahi kukutana na changamoto (zakujitakia) zilizo sabishwa na starehe zetu, na mwisho wa siku tulipambana nazo hadi kikaeleweka...
 
Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya.

Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu, nilibahatika kumpata mwenza wa First Year wa chuo fulani cha Mipango. Sasa tumedumu takriban miezi sita majuzi ananiambia amepima na anaujazito wangu.

Aisee nikicheki hata chuo bado sijamaliza kazi sina, nategemea tuhela twa boom (meal and allowance). Nimemwambia asitoe huo ujauzito maana ni dhambi kubwa hata sijui nifanyaje mwenzenu majukumu hayo. Nikiwaambia wazee ndo nitakosa msaada kabisa yaani najuta kumwagia ndani..niko njia panda mpaka nahisi dunia imefika mwisho kwangu..

Ushauri kwa vijana wenzangu msimwagie ndani.
Mbona mlivyokuwa mnazini hukuomba ushauri?
 
Acha kutumia Hisia kuliko akiliii kijanaa...!! Wewe unadhani wanawake wote wana maziwa ya kutoshaaa???? Na pia anaweza akawa nayo ya kutosha lakini anafanya kaziii unadhani mtoto atanyonyooo dyudyuuu yakoo au????

Kanuni Ni ile ile..Kama unaruhusu Hilo unaingia kwenye kundi la shithole
 
Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya.

Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu, nilibahatika kumpata mwenza wa First Year wa chuo fulani cha Mipango. Sasa tumedumu takriban miezi sita majuzi ananiambia amepima na anaujazito wangu.

Aisee nikicheki hata chuo bado sijamaliza kazi sina, nategemea tuhela twa boom (meal and allowance). Nimemwambia asitoe huo ujauzito maana ni dhambi kubwa hata sijui nifanyaje mwenzenu majukumu hayo. Nikiwaambia wazee ndo nitakosa msaada kabisa yaani najuta kumwagia ndani..niko njia panda mpaka nahisi dunia imefika mwisho kwangu..

Ushauri kwa vijana wenzangu msimwagie ndani.
Andaa 40,000 ya kutolea
 
d

Dogo ulivyokuwa unamgegeda ulituomba ushauri??
 
Mapenzi na shule hayajawahi kuchanganyika kama mafuta na maji.
Pole sana kijana, wevuna ulicho panda tu maana wazee walikupeleka shule ukasome na badala yake ukaenda kufanya mapenzi.
Alijua anamficha Mungu hamuoni,sasa hatimaye kamuumbua...
 
Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya.

Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu, nilibahatika kumpata mwenza wa First Year wa chuo fulani cha Mipango. Sasa tumedumu takriban miezi sita majuzi ananiambia amepima na anaujazito wangu.

Aisee nikicheki hata chuo bado sijamaliza kazi sina, nategemea tuhela twa boom (meal and allowance). Nimemwambia asitoe huo ujauzito maana ni dhambi kubwa hata sijui nifanyaje mwenzenu majukumu hayo. Nikiwaambia wazee ndo nitakosa msaada kabisa yaani najuta kumwagia ndani..niko njia panda mpaka nahisi dunia imefika mwisho kwangu..

Ushauri kwa vijana wenzangu msimwagie ndani.

Niliwahi pitia hiii hali

Njooo inbox nikueleze
 
Back
Top Bottom