Pengine wanataka kwenda kulala sopa lodge....kule lazima ujipange mkuuNgorongoro mbona sio sehemu yakujipanga mkuu??
Next time pita machame routeNilishapanda mlima mara mbili na kufanikiwa kufika peak kwa kupitia Marangu route, real ni big adventure lakini inahitaji ujasiri na uvumilivu mkubwa sana kupanda huo mlima.
Ni issue kufika Uhuru Peak. Kama ndiyo mara ya kwanza hakuna rangi ambayo utaacha kuiona. Lakini kuna kitu cha ajabu nilichojifunza kule nacho ni nguvu gani wanayotumia wale mapota??? Ni nguvu peke yake au kuna ziada???
Wanyama! Sikumbuki kuona mnyama, route nzuri yenye changamoto ni machame....Sasa ni route ipi INA vitu vingi vya kuvutia mfano,wanyama,mimea ya ajabu,miamba na vikolokolo vingine vizuri ukipita?
Mkuu kwa kunisaidia tu....labda umesikia kwamba wana mpango wa kuweka zile waya cable kama Table mountain SA kutusaidia sie tunaotaka kupanda ila afya azihimili hizo adventure!Akifika kwa dada(Stella) haina haja yakuogopa...Uhuru ni kugusa tu!!
Kosovo unapajua?
ram Machame and Lemosho are the best routes only because zina climatize...
Huwa nafurahi nikitoka Shira cave kwenda Lava Tower then unarudi Baranco...
Pananoga sana...afu ukatize hiyo Baranco Wall, jiwe la kubusu [emoji1] [emoji1] [emoji1] uingie Breakfast...[emoji1] [emoji1] [emoji1] Machame ni tamu sana aisee...
Nini kilimsibu yule race driver wa south africa ayefiaga juu mlimani?You won't die...kuna rescue nzuri kabisa endapo utazidiwa
Coca-Cola kiongoziAfya yako ilikuwa mbovu nn mkuu
Mkuu mpaka nilitamani kushuka watu wanashuka kama wanapaa na mabawa Hivi ile namna mtu unaweza ukafa Atii kwa kuwahishwa chiniJamaa wanatembea na mia
Mkuu hizo changamoto zinaifanya ipoteze uzuri aise,embu nishawishi machame route inaizidi nini Marangu ili nijue pakuanziaWanyama! Sikumbuki kuona mnyama, route nzuri yenye changamoto ni machame....
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kama zipi mkuu,ili nijue,na je hakuna uwezekano wa kutumia Marangu route kupanda na kushuka nikatumia machame routeZinatofautiana kidogo mkuu
Mkuu kuna sehemu ndani ya uzi huu nimezifafanua njia zote na nikaweka tofauti zake.Kama zipi mkuu,ili nijue,na je hakuna uwezekano wa kutumia Marangu route kupanda na kushuka nikatumia machame route
Ndio mkuu nlizoea kuunadi na kuuza package zake tuu,, nikasema ngoja nijilipue nipande na mimi asee siwezi kusahau tena bure tuu tulipewa offer,, Nadhani pia sikuwa na mazoezi ya kutosha ,Karibu ngorongoro marathon mkuu nayo ina cheer up kiasi flanMarangu route