Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

Ndio mkuu nlizoea kuunadi na kuuza package zake tuu,, nikasema ngoja nijilipue nipande na mimi asee siwezi kusahau tena bure tuu tulipewa offer,, Nadhani pia sikuwa na mazoezi ya kutosha ,Karibu ngorongoro marathon mkuu nayo ina cheer up kiasi flan
Ngorongoro tena!!
Big up...
 
Ngorongoro tena!!
Big up...
Asante hii huwa waandaaji wakuu ni ZARA adventure ikishirikiana na watu wa marekani kwaajili ya kupinga malaria bila kusahau Tigo etc, mbio ni kutoka ngorongoro getini mpaka karatu mjini msosi ni high view- zara property na malazi pia nzuri mno siachagi kushiriki nikiwa na muda!!
 
Is this Marathon?
 
Good morning Kili...
c179353ab6b7b61760f02a46f5a1c09c.jpg
 
Wadau!!
Kutokana na Maoni na maombi ya watu wengi, ni kweli kuupanda mlima Kilimanjaro, kwa mtanzania kama mtu binafsi ni gharama sana.

Niliwahi kuja na wazo humu la kujikusanya watu mbalimbali wenye nia yakupanda Mlima Kilimanjaro kwa lengo lakupunguza gharama, zoezi lile alilichukua Mike Mushi(jamiiforums) kwa lengo yakuliboresha zaidi lakini sikujua limefikia wapi mpaka sasa. Bado tunaweza kuandaa huu mpango ukakaa vizuri. Na hili likafanikiwa...
Stay tuned nikizungumza na Mike Mushi nitarejea kwa mchakato kamili.
 
Unasogeza mdomo ili iwaje?Em'elezea ili tupate picha as if nasi tunapita hapo
Mkuu, hiyo kusogeza inatokea wakati unapita kwenye hilo eneo.
Yaani ni lazima utangulize mguu mmoja mbele, (kushoto) na wakati unakanyaga na kulia sasa mwili wako kwa mbele unakuwa kama umelikumbatia jabali la mbele yako na mdomo unapita kwa ukaribu kabisa na hilo jabali,
1fc5fdc69439fa0c0db7df1d0105fe97.jpg

11b6fc585c72acc56dfbb8b87e935bf3.jpg

4a962fda1e5f867edd9e102a050ad57e.jpg
ba068e96e1c52ea826815ae44f7e76c9.jpg

Mkuu kishaija kwa maelezo haya na picha, ninaamini umeelewa kama bado usisite kuuliza.
 
Hat bila picha,lakn kwa maelezo hayo ni picha tosha.In short nimeelewa kuliko maelezo.Aksante Mkuu..
 
Hat bila picha,lakn kwa maelezo hayo ni picha tosha.In short nimeelewa kuliko maelezo.Aksante Mkuu..
Karibu sana Mkuu!!
Tunampango wakuandaa event yakupanda mlima Kilimanjaro via Jf...
Itakuwa yakuvutia sana
 
Mimi ni mmojawapo wa wapenzi wakubwa wa Mlima huu mzuri na urithi wa Tanzania na Africa nzima. Naweza kuchukua muda wa kutosha kutulia na kuuangalia kwa makini mandhari yake popote ninapokuwa Kilimanjaro. Aksante kwa picha nzuri Barikiwa sana
 
Barikiwa pia mkuu.
Ninaamini tayari ulikwisha upanda.
 
Back
Top Bottom