Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

Usijaribu kupanda huo mlima jmn, nliwah panda nikaishia hapo chini kwenye vyoo vya shimo..nishasahau jina (last camp ya kupitia marangu).

Siji kupanda teena aisee, baadhi ya maeneo siez sahau
Jiwe la ukoyo
Last water
Saddle
Afya yako ilikuwa mbovu nn mkuu
 
Mkuu inawezekana hukufanya maandalizi mazuri, sasa kama uliishia last point ambayo ni Mandara, jiwe la ukoyo ulilifahamu vipi? Na Saddle je?
Don't give up try again and again. Kama Marangu Route ilikushinda jaribu Lemosho au Machame, they can take u there...
Halafu kama alishindwa marangu huko atapaweza kweli maana huko ndio njia ngumu kuliko marangu
 
Hebu kama hujawahi kuupanda na huna tatizo lolote lile kiafya...Do it!!
Kila mtanzania na Mwana Afrika Mashariki yeyote yule anastahili kufurahia....
91ec716075860fe8ad259a8c124c998b.jpg

b8052b5a9c74c50341ead5476e449827.jpg

3777ab71835c4302590cf29afafc9376.jpg

7d255c687d1d51ca77c79c629b4a76ff.jpg

b1f77688bbfb6edc84a95bc8ab497638.jpg

c15203d7ccabe6612ccc81e22c8ff956.jpg

54109ac1229ed2f02eae829c3101743d.jpg

93e1377f45ab6dc46fe62ef22d1528bc.jpg

Mkuu unasema uko addicted na Mt. Kilimanjaro, hivi huko uliko hakuna sober houses wakusaidie kuacha kuulamba huo mlima ili usijepatwa na maradhi yasiyotibika bure.
 
Mkuu unasema uko addicted na Mt. Kilimanjaro, hivi huko uliko hakuna sober houses wakusaidie kuacha kuulamba huo mlima ili usijepatwa na maradhi yasiyotibika bure.
Ha ha ha ha ha Sober house yangu ni kuwaona watanzania wengi wanaukwea huu mlima mkubwa kabisa Africa
 
Huyu ni mtu wa pili sasa kuchanganikiwa baada ya kupanda Mlima Kilimanjaro. Wa kwanza alisema eti ukipanda kule juu na kulamba ile barafu unakuwa mtu wa kunywa pombe baridi tu na hatimaye kuwa addicted kama mleta mada hapa.
 
Ha ha ha ha...
 
Back
Top Bottom