Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

Miss Natafuta naona kama unampa Mungu ultmatum kuwa asipokupa mume utaendelea kuzini, kama kweli unaamini Mungu kakupangia mume badili mwenendo wako.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza ni kuzini ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio, mojawapo ni kusex ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so ili usizini inabidi uwe na ndoa.

Mimi Mungu hajanipa ndoa halafu mwili unatamani nikiwa malaya nikazini ovyo Mungu atanihukumu kweli? yeye si ndio hajanipa mume? hamna kitu huwa kinaniuma kama kusex, moyo huwa unauma kweli naweza kuwa kwenye tendo naanza kulia mtu atadhani ananipagawisha kumbe nalilia hyo dhambi .

Nashindwa hata kuwa na mpenzi maana atasema tuzini na mimi siwezi .Nimebaki tu nalia na Mungu
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE, BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME, PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.
Baadhi ya amri na sheria zimetungwa na binadamu ili kutunza maadili ktk jamii na kusudi zikubalike zakatwa za Mungu. Me katika amri zote ni zinaa tu ininayokushinda?
 
Kuna thread moja mleta uzi alipendekeza ukienda pm mambo ya hi au mambo yeye hayataki.
Akasema ukifika uanze na 'hi mimi ni xxx manager wa xxxx tukutane hotel kwa ajili ya lunch naomba namba yako nikutumie nauli na hela ya usumbufu'
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza ni kuzini ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio, mojawapo ni kusex ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so ili usizini inabidi uwe na ndoa.

Mimi Mungu hajanipa ndoa halafu mwili unatamani nikiwa malaya nikazini ovyo Mungu atanihukumu kweli? yeye si ndio hajanipa mume? hamna kitu huwa kinaniuma kama kusex, moyo huwa unauma kweli naweza kuwa kwenye tendo naanza kulia mtu atadhani ananipagawisha kumbe nalilia hyo dhambi .

Nashindwa hata kuwa na mpenzi maana atasema tuzini na mimi siwezi .Nimebaki tu nalia na Mungu
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE, BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME, PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.
Kuna tofauti kati ya kuomba Mungu,kulalamika na kulaumu.Hapo Mungu hana lawama.Utakapoanza kumuomba kwa moyo mkunjufu atakujibu.
 
Huoleki. The 'WHY'... ask Google.

-Kaveli-
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE, BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME, PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.
Mungu akupatie hitaji la moyo wako.
 
Kuna thread moja mleta uzi alipendekeza ukienda pm mambo ya hi au mambo yeye hayataki.
Akasema ukifika uanze na 'hi mimi ni xxx manager wa xxxx tukutane hotel kwa ajili ya lunch naomba namba yako nikutumie nauli na hela ya usumbufu'

Hahahaa ajiwowe yeye mwenyewe sasa.

-Kaveli-
 
Nimekuwa nikimfatilia huyu bi dada kabla sijajiunga humu kuna coment zingine watu wanadai huyu ni me lakini yeye mwenyewe anadai ni ke na anatafuta mwanaume, Miss Natafuta hebu njoo unipe ukweli wa jinsia yako, yawezekana ikawa bahati yangu.
 
Back
Top Bottom