Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

Pole...mkuuu naamini yupo wa aina yako anakungoja...usichoke kumuomba Mungu...muda ukifika nawewe utayafaidi mahusiano ya kindoa

Hacha kumshauri ujinga mkuu....yeye kashasema kusex kwake ni Afya ww unamwambia mtu ambaye ashasex hasisex....na huyo mungu aliyemuandalia atampataje kama atasex nae?....hakuna anaye nunua gari bila kutest kama linawaka
 
[HASHTAG]#Miss[/HASHTAG] Natafta, naona huu ni ujio mpya..

Anyway, Mungu wa mbinguni akusaidie kama umeamua kubadilika.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza ni kuzini ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio, mojawapo ni kusex ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so ili usizini inabidi uwe na ndoa.

Mimi Mungu hajanipa ndoa halafu mwili unatamani nikiwa malaya nikazini ovyo Mungu atanihukumu kweli? yeye si ndio hajanipa mume? hamna kitu huwa kinaniuma kama kusex, moyo huwa unauma kweli naweza kuwa kwenye tendo naanza kulia mtu atadhani ananipagawisha kumbe nalilia hyo dhambi .

Nashindwa hata kuwa na mpenzi maana atasema tuzini na mimi siwezi .Nimebaki tu nalia na Mungu
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE, BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME, PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.
we malaya utaendelea kuchezewa mpaka unaingia kaburini,ukiona wanaume wanapiga na kuondoka huo 'mzoga' hakuna jipya!
mama huruma endelea kugawa kwa nia njema
 
amepigwa mama yako na wanaume wangapi huku duniani? umalaya sijaanza mimi wewe mtoto wa malaya
 
Inakuwaje kwa madada ambaye hajabahatika kuolewa ,akiwa na mpenzi mmoja ametenda kosa???? Mana kuna wengine wanakuwa waaminifu hadi wanakufa hawajaolewa,na ukiaangalia takwimu inaonyesha wanaume ni wachache na wanawake ni wengi,je inakuwaje hapo????
 
Okoka kijana, ukiokoka unashida kwenye mkesha unakua nyegeless, yani zinapotea kwa maombi tu
 
Wewe huzini ila azinie ni yule alieko kwenye ndoa ww ni muasherati tu.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza ni kuzini ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio, mojawapo ni kusex ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so ili usizini inabidi uwe na ndoa.

Mimi Mungu hajanipa ndoa halafu mwili unatamani nikiwa malaya nikazini ovyo Mungu atanihukumu kweli? yeye si ndio hajanipa mume? hamna kitu huwa kinaniuma kama kusex, moyo huwa unauma kweli naweza kuwa kwenye tendo naanza kulia mtu atadhani ananipagawisha kumbe nalilia hyo dhambi .

Nashindwa hata kuwa na mpenzi maana atasema tuzini na mimi siwezi .Nimebaki tu nalia na Mungu
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE, BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME, PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.

Usitudanganye Miss - Wewe si ndio ulitoa ile post ya Fedha Boys??? Ukasema huwa unakwenda kulmlipia mtoto wa Mchepuko wako?? Sasa hapa unajifanya hauzini?? Unatenda dhambi nyingine ya kusema uongo.
 
ni rafiki tu
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza ni kuzini ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio, mojawapo ni kusex ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so ili usizini inabidi uwe na ndoa.

Mimi Mungu hajanipa ndoa halafu mwili unatamani nikiwa malaya nikazini ovyo Mungu atanihukumu kweli? yeye si ndio hajanipa mume? hamna kitu huwa kinaniuma kama kusex, moyo huwa unauma kweli naweza kuwa kwenye tendo naanza kulia mtu atadhani ananipagawisha kumbe nalilia hyo dhambi .

Nashindwa hata kuwa na mpenzi maana atasema tuzini na mimi siwezi .Nimebaki tu nalia na Mungu
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE, BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME, PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.
Kwa kutunga mashairi uko vizuri, Hongera sana!
 
Kumbuka, Wanawake ni wengi kuliko wanaume, Na Mungu hakuwaweka muwepo tu, ana maana mtumike Vua Uchovywe!
 
Wewe ni mtunzi mzuri sana. Unapenda kutafuta huruma ya jf, lakini naamini unayoandika hayana ukweli wa unachoishi.
 
Imani yako imekuwa ndogo kwa Mungu wako mkumbuke Nabii Ibrahim aliomba mtoto miaka mingi Mungu akaja kumpa Isaka baadae akamwambia amtoe kuwa sadaka kumbuka no huyo tu mtoto pekee aliyemuwa nae Ibrahim kwa jinsi alivyokuwa na Imani kubwa na Mungu hakusita na wala hakuuliza kwanini akaenda kama alivyoelekeza lakini kumbe ilikua ni fumbo alilopewa na kufika kule akakuta kondoo aliyenona ndio akamtoa yule kondoo sadaka
Nimekupa mfano kidogo ndugu hiyo yote uliyofanya ni kuzini na inabidi utubu hata maandiko Matakatifu yameandikwa mke au mume mwema hutoka kwa Mungu,
Na kumbuka katika maandiko kuna Heri ya matumbo yasiyozaa kwa hiyo usijione mkiwa Mungu ana sababu zake za kutokukupa wewe mwenza wa kufanana na wewe au muda wake haujafika
Na ninataka nikupe moyo kuwa hakuna mahali au kifungu chochote kilichoandikwa mtu asiyeowa ama kuolewa hataurithi ufalme wambinguni ila hiyo unayosema wewe kuzini au kuaka tamaa ndiyo itakayo kukosanisha na Mungu
 
Back
Top Bottom