Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

msema kweli ni mpenzi wa Mungu .
Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza kuzini. ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio.mojawapo ni kusex .ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so ili usizini inabidi uwe na ndoa
mimi Mungu hajanipa ndoa halafu mwili unatamani nikiwa malaya nikazini ovyo Mungu atanihukumu kweli? yeye si ndio hajanipa mume? hamna kitu huwa kinaniuma kama kusex .moyo huwa unauma kweli naweza kuwa kwenye tendo naanza kulia mtu atadhani ananipagawisha kumbe nalilia hyo dhambi .nahindwa hata kuwa na mpenzi maana atasema tuzini na mimi siwezi .Nimebaki tu nalia na Mungu
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE,BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME ,PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.

Hasha! Mungu aonekane kuwa amini na kila mtu mwongo; kama ilivyoandikwa, Ili ujulike kuwa una haki katika maneno yako, Ukashinde uingiapo katika hukumu.
 
Kama kweli una hofu ya Mungu ndani yako, usikatibie Zinaa. Kuzini kumepingwa na dini zote.

Usimsingizie Mungu eti hajakupa mwenza ndo maana unazini. Hakusema nisipokupa mwenza na ukiwa single kazini mpaka nitakapokupa mwenzio.

So hapo utachagua kusuka ama kunyoa. Uzini na uishi na majuto ya kuikosea nafsi yako. Ama utavumilia kwa kutumai Mungu atakupa mwenza wa kufunga nae ndoa.
Word Kudos
 
Wacha maneno piga game.... hata akina gwajima wanapiga
 
msema kweli ni mpenzi wa Mungu .
Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza kuzini. ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio.mojawapo ni kusex .ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so ili usizini inabidi uwe na ndoa
mimi Mungu hajanipa ndoa halafu mwili unatamani nikiwa malaya nikazini ovyo Mungu atanihukumu kweli? yeye si ndio hajanipa mume? hamna kitu huwa kinaniuma kama kusex .moyo huwa unauma kweli naweza kuwa kwenye tendo naanza kulia mtu atadhani ananipagawisha kumbe nalilia hyo dhambi .nahindwa hata kuwa na mpenzi maana atasema tuzini na mimi siwezi .Nimebaki tu nalia na Mungu
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE,BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME ,PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.
Weee acha kuwaza KUZINI saa hizi, nenda KAZINI.
 
Usikufuru dada, tena omba msamaha kwa Mungu. Ukizini ni madhambi yako mwenyewe, mara useme ukisex huwa unalia alafu hapo hapo useme huwezi kuwa na mpenzi? Mbona unatumixia mavitu. Na kama hutaki kuzini basi olewa waowaji wapo wengi tu. Tatizo najua ukiolewa utachepuka, shida tupu. Unatoka kwenye fornication unahamia kwenye adultery
 
Mmmhhh,,,,wewe, kwanza heading na contents havishabihiani, lakini hata hivyo, maelezo yako yanaonesha mwenyewe hupendi mahusiano ya kingono nje ya ndoa jambo ambalo ni jema, pia unaonesha kuhitaji kuwa na mwenzi wa maisha ambalo nalo ni jema pia, shida inakuja pale unapo doubt uwezo wa Mungu katika kukupatia haja ya moyo wako na pia kuhoji amri halali ya Mungu kuhusu wazinzi. Mungu hajaribiwi, chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna.
 
Usikufuru dada, tena omba msamaha kwa Mungu. Ukizini ni madhambi yako mwenyewe, mara useme ukisex huwa unalia alafu hapo hapo useme huwezi kuwa na mpenzi? Mbona unatumixia mavitu. Na kama hutaki kuzini basi olewa waowaji wapo wengi tu. Tatizo najua ukiolewa utachepuka, shida tupu. Unatoka kwenye fornication unahamia kwenye adultery
kumwambia Mungu ukweli ni kumkufuru?
 
Jitahidi uolewe.utasamehewa dhambi za uzinifu.ila ukizini wakati umeolewa.adhabu yako ni kupigwa mawe adharani hadi kufa.
 
mbona nakuwa na nyege
Ndugu nimekupa mfano hapo wa Ibrahimu hizo nyege umekuwa nazo mshukuru Mungu kuna wengine wanazitafuta kwa tochi kwa madawa na sindano na miti shamba na hao kwa upande wao Mungu kawajaalia kuolewa au kuowa sasa na wao wasemeje wakufuru?
Imani yako wewe ni haba na umeacha tamaa za kimwili zikutawale na ninataka nikupe somo najua utakuwa hulijui
Unajua maana ya Hekalu? Utasema ndio ni majumba makubwa mazuri ya kuabudia sikatai yale ni sheria na mapokeo ya dini na sehemu pa kukutania na kumwabudu Mungu wetu

Lakini miss natafuta Hekalu linalozungumziwa ndani ya Biblia Takatifu ni mwili wako unapozini unalinajisi hekalu la Mungu na kumbuka sisis tumeumbwa kwa mfano wa Mungu
Na ndio maana ikawepo ndoa na tumeonywa ni heri kuowa ama kuolewa kuliko kuaka tamaa za kimwili
Na hiyo kuzini ipo katika amri kuu za Mungu hata wanafunzi wake walipokuwa wakimuuliza maswali aliwaambia sio kuzini tu mtu akimtiza jirani yake kwa jicho la kumtamani tayari ameshazini nae ndugu soma maandiko Matakatifu na Mkumbuke sana Mungu wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku zilizombaya soma Biblia itakuweka huru nawe utakuwa huru kweli kweli.
 
kwaiyo nikiwa na nyege nifanyeje?
 
Back
Top Bottom