Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

Ningependa ni changie sana kwenye hii mada sema nashindwa kutofautisha tamaa ya akili na tamaa ya mwili pia maitaji ya akili na maitaji ya mwili na mwisho matumizi ya akili na matumizi ya mwili miss natafuta unaweza kunisaidia hapo kunielewesha kwa ufahamu wako please naomba nisaidie hapo
 
Kama kweli una hofu ya Mungu ndani yako, usikatibie Zinaa. Kuzini kumepingwa na dini zote.

Usimsingizie Mungu eti hajakupa mwenza ndo maana unazini. Hakusema nisipokupa mwenza na ukiwa single kazini mpaka nitakapokupa mwenzio.

So hapo utachagua kusuka ama kunyoa. Uzini na uishi na majuto ya kuikosea nafsi yako. Ama utavumilia kwa kutumai Mungu atakupa mwenza wa kufunga nae ndoa.
Una uhakika kama ni kweli dini zote zimekataza zinaa?
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza ni kuzini ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio, mojawapo ni kusex ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so ili usizini inabidi uwe na ndoa.

Mimi Mungu hajanipa ndoa halafu mwili unatamani nikiwa malaya nikazini ovyo Mungu atanihukumu kweli? yeye si ndio hajanipa mume? hamna kitu huwa kinaniuma kama kusex, moyo huwa unauma kweli naweza kuwa kwenye tendo naanza kulia mtu atadhani ananipagawisha kumbe nalilia hyo dhambi .

Nashindwa hata kuwa na mpenzi maana atasema tuzini na mimi siwezi .Nimebaki tu nalia na Mungu
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE, BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME, PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.
Haya Changamka sasa uolewe!!!
 
Usiseme ukiwa malaya..!

Mbona post zako huwa zinaonesha tu kuwa wewe ni malaya!
Usiamini kila comment au mada!
Watu fake wapo wa kutosha, hivyo za kupewa ukichanganya na zako.., jibu unalo!!
 
Uliambiwa usizini na ikiwa utazini adhabu itakuwa ni kubwa utashindwa hata kuaga ndugu zako hah hah..Mwenye Mungu hajawahi kushindwa na maneno yake hayatapita kamwe..watch out!
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza ni kuzini ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio, mojawapo ni kusex ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so ili usizini inabidi uwe na ndoa.

Mimi Mungu hajanipa ndoa halafu mwili unatamani nikiwa malaya nikazini ovyo Mungu atanihukumu kweli? yeye si ndio hajanipa mume? hamna kitu huwa kinaniuma kama kusex, moyo huwa unauma kweli naweza kuwa kwenye tendo naanza kulia mtu atadhani ananipagawisha kumbe nalilia hyo dhambi .

Nashindwa hata kuwa na mpenzi maana atasema tuzini na mimi siwezi .Nimebaki tu nalia na Mungu
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE, BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME, PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.
kuwa mpagani ili ukisex uwazeeee😛😛😛😛
 
Eti Mungu hajakupa mume! Kama hujisaidii yeye atakusaidiaje!

Mungu anasema " msizichochee tamaa za mapenzi wala kuziamsha hisia zake" Ni ndio hisia za mapenzi huchochewa na haziji zenyewe hivyo acha kuzichochea hizo hisia uone kama utazini, pia Mungu anataka watu wawe wenye kujizuia na sio wenye tamaa na kushindwa kujizuia.
 
Dada yng kwa kiswahili kabisa nipo tayar kukustiri katika ndoa km kweli mungu hajakupa mume bc tayar ameshakuletea mm na nipo tayar kukuoa wakati wowte ili kukunusuru na janga la zinaa!!
 
Back
Top Bottom