Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

nawaona wale wale tu.maana wanakuja vilevile tu .
Sasa hujiulizi kwa nini wanakuja hao hao tu? Ndivyo ulivyo kwa sasa. Unatoa negative energy inayovuta watu wa aina hiyo. Fata ushauri wa Karucee. Shughulikia moyo wako. Kaa karibu na nafsi yako ushughulikie yaliyopita uyaache, uwe mtu mpya, uiangalie dunia kwa mtazamo mpya badala ya kulalama kama mtu asiye na matumaini. Mungu alishaweka misingi tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Hashughulikii tatizo kwa style ya mkulu wala Madereva. Ukitii kuna orodha ya baraka, usipotii kuna orodha ya majanga. Ametoa pia maelekezo ufanye nini ukiwa kwenye hali kama yako. Hutakiwi kuchoka wala kuzira. Ukimkasirikia anabaki vilevile wewe ndo utapata hasara.
 
uliniona nikizini jamani?
Kha!! we utakuwa mwendawazimu si bure!! Umeandika mwenyewe kuwa unazini na wakati mwingine hulia kwa kushtakiwa na dhamiri. Nyege zisipodhibitiwa haya ni baadhi ya matokeo yake.
 
Jiulize kwa nini unakosa mume? Mwanamke anayeonyesha kujiheshimu na ni mtaratibu hawezi kukosa mume. Hivyo labda wewe unadharau unaowaona hawana gari au nyumba au kazi ya mshahara mkubwa. Au labda unajiachia kwa kila anayekupa ahadi ya kukuoa na unapojiachia unaonekana malaya. Jichunguze sana. Kaa ukimwomba Mungu lakini kamwe usimsingizie kwamba ni yeye kakunyima mume. Ni tabia yako inakunyima mume
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza ni kuzini ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio, mojawapo ni kusex ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so ili usizini inabidi uwe na ndoa.

Mimi Mungu hajanipa ndoa halafu mwili unatamani nikiwa malaya nikazini ovyo Mungu atanihukumu kweli? yeye si ndio hajanipa mume? hamna kitu huwa kinaniuma kama kusex, moyo huwa unauma kweli naweza kuwa kwenye tendo naanza kulia mtu atadhani ananipagawisha kumbe nalilia hyo dhambi .

Nashindwa hata kuwa na mpenzi maana atasema tuzini na mimi siwezi .Nimebaki tu nalia na Mungu
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE, BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME, PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.
Ukitaka kuzini nitafute. Tuzini wote....
 
kwaiyo nikiwa na nyege nifanyeje?
Ulisema unahamia CHAPUTA .hata huko ni dhambi pia . Jizue kula yaani funga. Fanya mazoezi huku ukitafuta mume jiangalie tabia yako na life style yako huenda ikawa kikwazo kupata mume.
 
Madame kama hujaolewa basi huzini bali ni uasherati

Uasherati ni mzizi wa dhambi na sio dhambi

Kuzini ni kuchepuka nje ya ndoa

We enjoy maisha tuu,maisha yenyewe ni haya haya
 
Kha!! we utakuwa mwendawazimu si bure!! Umeandika mwenyewe kuwa unazini na wakati mwingine hulia kwa kushtakiwa na dhamiri. Nyege zisipodhibitiwa haya ni baadhi ya matokeo yake.
Hahahahaaaaaaaaaaaa umenikumbusha mbali ssna
 
simpleeee tu...njoo geto japo kwa siku 3 nikufundishe jinsi ya kuishi raha mustarehe.
 
amepigwa mama yako na wanaume wangapi huku duniani? umalaya sijaanza mimi wewe mtoto wa malaya
ww malaya hiyo k mbovu ndo maana unahangaika jf,xx k mbov km hy wat wanakul wanaamsha ;utachezewa mpk mwsh wa dahari

[HASHTAG]#malaya[/HASHTAG] mchafu,kaoshe k kwanza hyo!
 
Ukiwa na nyege Muambie Mungu kua una nyege naye atakusaidia kukuondolea hizo nyege. (
Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, Hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele. )
YES, MIZIGO YA KUMTWISHA MUNGU NI PAMOJA NA NYEGE ZAKO, SO UKIWA NAZO AU ZIKIJA SULUHISHO SIYO KUZINI BALI NI KUMTWISHA YEYE FADHAA NA MIZIGO YAKO.
 
Back
Top Bottom