Mdada zingatia hapa jitahidi usome mpaka mwisho

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
16,103
30,992
Courtesy of mito

Mdada zingatia points hizi kama kweli unataka kupata mwanaume bora na si bora mwanaume. Responsible men are quite few, so you have to go extra miles to get him.

Mara nyingi nasisitiza kuwa na wanaume 3 au 4 ambao watakuwa prospective 'husbands' wako. Ila jaribu kuepuka kufanya nao sex - ingawa ni ngumu sana kwani wanaume wana ushawishi mkubwa ktk kudai sex. Hata ukiwa na 2 siyo mbaya sana ingawa ubaya wake ni kwamba unakuwa na sample ndogo sana ya kuchagua. Ktk hao changua yule ambaye unaona anakupenda sana kuliko wewe unavyompenda. Ukiona wote wanaonyesha kiwango sawa cha kukupenda, ongeza idadi (ila akikisha hutembei nao kwanza) hadi upate yule utakayeona anawazidi wengine ktk kukupenda wakati wewe humpendi kiviile! Pia, ukiona kuna ambaye unaona amekufa kabisa kwako wakati huo huo na wewe umekufa kabisa kwake, hapana huyo hafai! Nakushauri uchague anayekupenda sana wakati wewe unampenda tu kiasi kwa sababu zifuatazo:

1. Wataalamu wa relationship wanasema, relationship inapoanza mara nyingi upendo huwa haulingani. Yaani ukiupima kwenye mzani lazima ulaegemea upande mmoja. Hii maana yake ni kwamba ukiona wewe unampenda sana basi ujue yeye hakupendi kivile, pia ukiona yeye anakupenda sana mara nyingi wewe unakuwa humpendi kivile. Kwahiyo sasa ukiona wewe unampenda sana halafu na yeye anaonyesha anakupenda sana maana yake mmoja wenu anafake upendo! Hivyo inawezekana kweli wewe unampenda sana lakini ukakuta kumbe yeye hana upendo wa dhati kwako.

2. Ukipata mwanaume ambaye anakupenda kwa dhati, hakika utaishi kama malkia - atakupenda, atakujali, atakuheshimu mpaka basi! atajitahidi sana asikuudhi, kifupi utafurahia maisha yako ya ndoa!

3. Wataalamu wa mahusiano wanasema hivi, upendo wa mwanamke unakuwa taratibu kadri unavyoendelea kuishi naye. Yaani kama unaishi naye na unam-treat vizuri (unampenda, unamjali, unamheshimu, unamtimizia mahitaji yake n.k) atazidi kukupenda kadri ziku zinavyokwenda. Kama unaendelea kuishi naye na kum-treat vizuri, basi upendo wake utaendelea kukua hadi kufikia au kuzidi kiwango unachompenda wewe. Ngoja nikupe mfano ili uelewe vizuri ninachomaanisha hapa. Hivi hujawahi kusika mwanamke anasema, ah wala sikumpenda kivile mwanzoni lakini hivi sasa loh!

4. Kama wewe ni mkristo utakubaliana na mimi kwamba ktk biblia ni wanaume ndo wameambiwa kuwapenda wanawake, lakini wanawake wameambiwa kuwatii wanaume. Hakuna mahali ktk biblia pameandikwa enyi wanawake wapendeni wanaume. Nyie kazi yenu ni kutii tu basi. Mungu alijua wazi kuwa mwanaume akishakupenda kwa dhati ni lazima na wewe utampenda tu with time,so ndo maana Mungu anasisitiza umtii ili azidi kukupenda!

Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini ndoa za wazazi wetu (ndoa za zamani ambazo mwanamke alikuwa anachaguliwa mwanaume wa kuolea naye) ziko imara sana kuliko hizi za sasa (ambazo wachumba wanachaguana wenyewe kwa wenyewe) ambazo nyingi ziko ICU? Jibu ni moja, walikuwa wanazingatia vipengele namba 3 & 4 hapo juu. Wazazi walikuwa wanahakikisha wanamchagulia mwanae mwanaume ambaye wanaona ana upendo wa dhati na anatoka kwenye familia yenye malezi mazuri. Short of that wanakataa! Walikuwa hawampi binti yao nafasi ya kuchagua kwakuwa waliamini atasukumwa na jinsi moyo wake unavyompenda huyo mwanaume. Na hili ndo linawa-cost sana mabinti wa siku hizi!!! Nadhani hadi hapo umeelewa vizuri ni kwanini nakushauri uchague mwanaume anayekupenda sana wakati wewe unampenda kiaina tu!

5) Tafuta God ? fearing guy na siyo mzugaji wa dini. Hili sina mengi ya kuongea kwani tumeishalijadili sana jukwaani. Kifupi ni kwamba hakuna sababu ya kumzuia mwanaume rijali (tena awe na uchumi wake) kucheat ikiwa hamuogopi Mungu.

6).Hii point y sita ina three sub-points:
i) Wasichana wengi wanapenda mwanaume mwenye mvuto. Wengi wao wana-describe mwanaume mwenye mvuto kuwa ni mrefu, handsome and athletic figure. Cha ajabu ukiwauliza kwanini wanapenda mwanaume wa aina hii, wengi huwa wanajibu kuwa - anapendeza kutembea naye mtaani, so it's for show off! Bahati mbaya au nzuri wanaume wa jinsi hii wanajua kabisa kuwa wasichana/wanawake wanawapaparikia - (kumbuka my previous advice jinsi moyo unavyomdanganya mwanamke). Matokeo yake wengi hutumia loophole hii kuwafolenisha mabinti wa kila aina ili kukidhi tamaa zao za mwili na kuwapiga mizinga (nakumbuka sredi yako). Wanaume wengi wa jinsi hii huwa ni maplay boy. Hiki ndo chanzo cha mabinti wengi kuishia kulia kila siku. Fanya utafiti wako binafsi miongoni mwa rafiki zako walio na wanaume ma-handsome, uone relatioships zao zinavyolegalega. Utakuta msichana/mwanamke pressure inashuka pressure inapanda kila kukicha! In one of my comments niliwahi kusema wanaume wengi wanajua kutofautisha kati ya mwanamke wa kuoa na mwanamke wa kupasi time tu, ila inaonekana siyo kwa wanawake wengi. Ushauri wangu: inabidi uamue ktk maisha yako unahitaji mwanaume wa maonyesho au stress-free man often responsible husband?

ii) Nadhani utakubaliana na mimi kwamba relatioships nyingi zinavunjika kwa sababu ya cheating. kwa mfano nikikuuliza wewe ni kwanini hau-cheat ukiwa ktk relatioship, utanijibu ni kwa sababu uliyenaye unampenda na unaogopa kuachwa. In other words you are committed to someone already, so you can't do with another man coz you will be compromising your relatioship. Sure, this is good answer! Ila kwa upande wangu ukiniuliza hili swali, nitajibu kama ulivyosema, lakini pia nitasema kwamba cheating ni dhambi. Ninachotaka kusema hapa ni kwamba tafuta mwanaume mcha Mungu kwa sababu anafahamu wazi kuwa cheating mbali na kuwa inavunja uhusiano wangu na mpenzi/mke wangu, pia ni dhambi mbele za Bwana. Hivyo akiwa mcha Mungu ni salama tu hata akiwa zake semina Kilosa (ambako anajua wewe humuoni lakini Mungi anamuona) na wewe uko zako Dar. Take this from me, mwanaume yeyote rijali akiwa na pesa (dispossable income) bila kuwa na roho wa Mungu there is no way atashinda amri ya usizini.

iii) Nadhani pia utakuwabaliana na mimi kuwa uhusiano wa girlfriend na boyfriend mara nyingi sana huwa ni wa nyinyi wawili. Lakini linapokuwa suala la marriage, there are so many parties involved kama vile wazazi, ndugu, jamaa na marafiki. Hapa ndo vikwazo huwa vinaanza kujitokeza. Pamoja na kwamba nyinyi wawili mnapendana mara nyingi linakuja suala la kufunga doa mnahitaji baraka za wazazi wa pande zote mbili. Hili halikwepeki kwa sababu tunataka ku-maintain good relationships with our parents. Nadhani umeshuhudia wengi wanaachwa ktk hatua hii. Kuna sababu mbalimbali ambazo huwa zinakuwa wazi ktk hatua hii. Kuna makabila wanaume hawaoi mwanamke asiye wa kabila lake, akilazimisha basi atapewa mwanamke wa pili ambaye atakuwa wa kabila lake. Ngoja nitoe mfano mmoja, ila samahani kama wewe ni mhaya, hebu fanya utafiti wako uone ni wahaya wangapi wameoa wanawake ambao siyo wahaya? Wanawake wao wanaruhusiwa kuolea nje ya kabila. Sina nia ya kuendekeza ukabila hapa, nia yangu ni kutaka uone ni jinsi gani tunavyobanwa na tamaduni zetu. Bahati mbaya hili uwa haliko wazi ktk mahusiano yetu ya girlfriend na boyfriend. So ni vema ukafanya homework yako kujua influence ya kabila la mtarajiwa wako ktk ndoa. Vinginevyo unacheza makida na utajikuta unaangukia pua hatua za mwisho.

Beliave me or not ukifuata hizi points hakika utapata mwanaume bora na utaisha maisha ya raha mustarehe ktk ndoa yako. Kifupi hautapata mwanaume garasa!

With Love amu FULL PACKAGE
 
Attachments

  • omosexy.jpg
    omosexy.jpg
    5.8 KB · Views: 104
Last edited:
Mimi ni mwanaume lakini naunga mkono hoja zote zilizoandikwa kwa 90%.
Japo Kuna wanawake wanakataa hiyo dhana ya wao kumpenda mtu kadri anavyozidi kukaa naye.
 
Weee amu wee, can u plz acknowledge the source, where did you get this?!This is my article I wrote 2011 to somebody called Smile, hakunielewa huyu mtoto sijui siku hizi yuko wapi

Hahaaa umenikumbusha mbali, ukidisclose na ile story nyingine akyanani nakuchapa!!
 
hapana mito ulimtumia amu pia nimeitoa inbox ndo maana nikakusalimia nakumbuka uliniambia hutaki mtu ajue wewe umeandika hii article hasa mafisi walioko mawindoni humu...
 
Flattery make a Friend but Truth make an Enemy.

Umeongea ukweli ila hamna wa kukuelewa .... Na wanawake msivyopendana, Basi kuna mtu atajisemea moyoni " Huyu naye kujifanya wife material kumbe mshenzi tuuu ,apeleke uko ngonjera zake"

Only few !!
 
Mapenzi hayana Formula.
Unaweza usitoe k baada ya mwaka,akamega akasepa.

Unaweza ukamkubali alokusarandia muda mrefu,kumbe alikuwa anaponea mahali kwingine.
Unaweza ukasema ana sura ngumu atakuwa mwema,kumbe ana roho mbaya kama sura yake.

Siku hizi huwezi kujua mtu kama anamcha Mungu kweli mpaka utakapomjua vema kabsa.Mara nyingi wacha Mungu wanafiki yani ni vitombi balaa.
Mada nzuri sana.
 
Back
Top Bottom