Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

Kama wew ni mkristo utajua kuhsu roho mtakatfu hakuna binadam mwenye uwezo wa kuishnda dhambi ndo maana tunaambiwa tuokoke na kujazwa roho mtakatfu yeye anatusaidia kuishnda dhambi kama hyo ya uzinifu
 
kwaiyo nikiwa na nyege nifanyeje?
Nishakuona umeamua kujitoa ufahamu lakini nashukuru mikono yangu kuwa meupe maana hata siku ya hukumu nitaulizwa kunamzinifu alitaka msaada ulimsaidiaje nitakuwa na cha kujitetea nikiona umekuwa mzigo nakufunga kamba shingoni nakutosa baharini
 
Kama wew ni mkristo utajua kuhsu roho mtakatfu hakuna binadam mwenye uwezo wa kuishnda dhambi ndo maana tunaambiwa tuokoke na kujazwa roho mtakatfu yeye anatusaidia kuishnda dhambi kama hyo ya uzinifu
usiishi kwa kukariri my dear ishi in reality!
 
Nishakuona umeamua kujitoa ufahamu lakini nashukuru mikono yangu kuwa meupe maana hata siku ya hukumu nitaulizwa kunamzinifu alitaka msaada ulimsaidiaje nitakuwa na cha kujitetea nikiona umekuwa mzigo nakufunga kamba shingoni nakutosa baharini
mkuu nakuheshimu .acha unafiki !
 
sinner.jpg
 
Ukiwa na nyege miss natafuta njoo kwangu nikusaidie kuzipunguza kwani hata mungu anajua mwili wa binadam ni dhaifu. Alishindwa Adam aliekua anaongea na mungu face to face sembuse wewe!!
 
Mi naona umuulize mwenyewe kama atakuruhusu fanya tu,akigoma ndo mtahojiana hapo,sisi tusikudanganye mwaya.
 
mkuu nakuheshimu .acha unafiki !
Amini hivyo Miss Natafuta hata mimi nakueshimu na ndio maana nikakupa ushauri kwa kuona ndugu yangu huko uendako siko sasa wewe kuna wenye upeo hapa wamekupatia mpaka na mistari hutaki kuelewa unang'ang'ania sehemu moja tu nyege kwani umeambiwa sisi hatuna ?
Unapokuwa na shida nakuamua kuwa muwazi inamaanisha unataka kuutua mzigo mzito na kupata suluhisho lililo kuu nakuakikishia mimi sio mnafiki ukitaka ushauri wa kiroho waone wachungaji wako watakusaidia nauahukuru Mungu unapewa ushauri mzuri huku ushindwe mwenyewe kuutumia ukiona umeumeshindwa basi hilo litakuwa pepo utafute wanamaombi wakuombee.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza ni kuzini ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio, mojawapo ni kusex ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so ili usizini inabidi uwe na ndoa.

Mimi Mungu hajanipa ndoa halafu mwili unatamani nikiwa malaya nikazini ovyo Mungu atanihukumu kweli? yeye si ndio hajanipa mume? hamna kitu huwa kinaniuma kama kusex, moyo huwa unauma kweli naweza kuwa kwenye tendo naanza kulia mtu atadhani ananipagawisha kumbe nalilia hyo dhambi .

Nashindwa hata kuwa na mpenzi maana atasema tuzini na mimi siwezi .Nimebaki tu nalia na Mungu
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE, BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME, PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.
Mmmhh na yule unaemlipia ada mwanae exim ni nan?? Komalia ndoa, uzinzi sio mpango
 
Back
Top Bottom