Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

Nikizini Mungu atanihukumu kweli?

Kuzini sio dhambi
Hata manabii walikuwa wana wanawake kibao na Mungu akabariki uzao wao
 
Kuzini sio dhambi
Hata manabii walikuwa wana wanawake kibao na Mungu akabariki uzao wao
Soma vizuri maandiko usipotoshe yaliyofanyika ndani ya Agano la kale ndio maana Yesu Kristo akaleta Agano jipya ila hakuja kutengua Agano la kale bali kulitimiliza soma neno uwe huru usiyumbishwe
 
Amini hivyo Miss Natafuta hata mimi nakueshimu na ndio maana nikakupa ushauri kwa kuona ndugu yangu huko uendako siko sasa wewe kuna wenye upeo hapa wamekupatia mpaka na mistari hutaki kuelewa unang'ang'ania sehemu moja tu nyege kwani umeambiwa sisi hatuna ?
Unapokuwa na shida nakuamua kuwa muwazi inamaanisha unataka kuutua mzigo mzito na kupata suluhisho lililo kuu nakuakikishia mimi sio mnafiki ukitaka ushauri wa kiroho waone wachungaji wako watakusaidia nauahukuru Mungu unapewa ushauri mzuri huku ushindwe mwenyewe kuutumia ukiona umeumeshindwa basi hilo litakuwa pepo utafute wanamaombi wakuombee.
ila utahukumiwa kwa dhambi zako sio kwa ajili ya dhambi zangu mkuu .soma ulichoandika mwanzo
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza ni kuzini ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio, mojawapo ni kusex ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so ili usizini inabidi uwe na ndoa.

Mimi Mungu hajanipa ndoa halafu mwili unatamani nikiwa malaya nikazini ovyo Mungu atanihukumu kweli? yeye si ndio hajanipa mume? hamna kitu huwa kinaniuma kama kusex, moyo huwa unauma kweli naweza kuwa kwenye tendo naanza kulia mtu atadhani ananipagawisha kumbe nalilia hyo dhambi .

Nashindwa hata kuwa na mpenzi maana atasema tuzini na mimi siwezi .Nimebaki tu nalia na Mungu
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE, BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME, PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.
v ule mchepuko wako mume wa mtu anaekutumaga ukamlipieexim ukamlipie mwanae ada ya feza,vp yeye huzini nae
 
ila utahukumiwa kwa dhambi zako sio kwa ajili ya dhambi zangu mkuu .soma ulichoandika mwanzo

Mungu anakupenda sana, Mungu anakupenda hivyo ulivyo, dhambi na madhaifu yako, hayamfanyi Mungu kutokukupenda, Mungu anakupenda sana na anakuangalia kila second ya maisha yako. Mungu anakuwazia mema, ili ukawe na mwisho mzuri.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza ni kuzini ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio, mojawapo ni kusex ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so ili usizini inabidi uwe na ndoa.

Mimi Mungu hajanipa ndoa halafu mwili unatamani nikiwa malaya nikazini ovyo Mungu atanihukumu kweli? yeye si ndio hajanipa mume? hamna kitu huwa kinaniuma kama kusex, moyo huwa unauma kweli naweza kuwa kwenye tendo naanza kulia mtu atadhani ananipagawisha kumbe nalilia hyo dhambi .

Nashindwa hata kuwa na mpenzi maana atasema tuzini na mimi siwezi .Nimebaki tu nalia na Mungu
O GOD
YOU HAVE MADE EVERY LIVING THING IN PAIRS
THE SINCERE, BEAUTIFUL AND PIOUS PAIR THAT YOU HAVE CREATED FOR ME, PLEASE GIVE IT TO ME .THANK YOU.
Heading ya hii thread yako ilitakiwa isomeke; Natafuta mume wa kunioa.
 
Nimenawa mikono my hata mtoto.ukimzaa ukimpa malezi ambayo siyo siku ya mwisho utaulizwa usiposadia wasiojiweza wakati una uwezo utaulizwa amini hivyo
ahahaa wewe motoni utaenda kwa dhambi zako bwana wewe jipange mbele za Mola wako mimi sihusiki .kila mtu atahukumiwa kwa makosa yake mwenyewe soma maandiko yako vizuri
 
ahahaa wewe motoni utaenda kwa dhambi zako bwana wewe jipange mbele za Mola wako mimi sihusiki .kila mtu atahukumiwa kwa makosa yake mwenyewe soma maandiko yako vizuri
Nimeyasoma nikayaelewa najua ninachokisema shida ipo kwa yule aliyekosa Imani na Mungu wake mpaka nakuja kulia lia kwa binaadamu mwenye mapungufu
 
Kwanza nikiri kuwa mimi naamini hakuna dhambi kuna makosa huwezi fanya kazi ya Mungu halafu iwe makosa. Hizi dini ni za binadamu Mungu hana dini
 
Back
Top Bottom