Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,582
- 860,728
- Thread starter
- #181
HahhahahaaaaView attachment 393924 Hapo kamalizia kwa kusema alimjua pia. Na amefanya kazi nae
HahhahahaaaaView attachment 393924 Hapo kamalizia kwa kusema alimjua pia. Na amefanya kazi nae
...after death. Ila ukimpokea Yesu Kristo unaepuka fire
Shetani ni dhana ni matendo ni fikra sio umbo sio sura ndio maana kuna mdau hapo akachagiza kwa kutaka picha halisi ya shetani badala ya hizi za kuchoraView attachment 393493
Hapana sijasema hivyo popote
Ni mahubiri yao...
Kuna kitu kisikuchanganye hapa😛😛😛 Kwa hiyo unatakaa kuniambia Shetani ni dhana. Yaani hadhithi siyo. Wacha ninywa maji kwanza. Ni takuuliza siku nyingine zile hatudhi za kwenye Vitabu vya Imani.
Kuna kitu kisikuchanganye hapa
Dhana inaweza kuwa halisi au kinyume chake
Ni kweli kabisa shida iko wapi hapo?Ebu rudia hiyo mistari yako hapo chini.
''Kwa wale wachangiaji wa kukurupuka watofautishe kati ya kujua na kufahamu
Nakiri wazi kabisa kuwa namjua shetani...huyu kiumbe mbaya kabisa mwenye kutisha na kuogofya hasa.''
Ni kweli kabisa shida iko wapi hapo?
Dhana ya kiumbe au kiumbe dhana
Nimeshafafanua hapo labda kama tu hujaelewa kwakuwa nafikiri hujui hata 'wewe' ni dhana''Kwa wale wachangiaji wa kukurupuka watofautishe kati ya kujua na kufahamu
Nakiri wazi kabisa kuwa namjua shetani...huyu kiumbe mbaya kabisa mwenye kutisha na kuogofya hasa.''
Nimeshafafanua hapo labda kama tu hujaelewa kwakuwa nafikiri hujui hata 'wewe' ni dhana
inabidi uanzishe chuo chako mshana uwe unatoa cheti na diploma kuhusiana na haya masuala,kwani unaweza kuloga,unaweza kumtibu muathirika wa uchawi unaweza kufundisha uchawi na jamii zake nkView attachment 393480
Kwa wale wachangiaji wa kukurupuka watofautishe kati ya kujua na kufahamu
Nakiri wazi kabisa kuwa namjua shetani...huyu kiumbe mbaya kabisa mwenye kutisha na kuogofya hasa.
Kwa mara ya kwanza nilimfahamu shetani kupitia maandiko na simulizi kwenye imani imani yangu...nikasoma na kusimuliwa vizuri tu kuhusu hiki kiumbe na jinsi lilivyokaa kimvuto (japo kinatisha sana kwa baadhi ya picha)nikamfahamu shetani kwa njia hiyo
Kilichofuatia ni kumjua shetani...nimekuwa mshirikina waje kwa miaka mingi tumefanya naye kazi pamoja, tuneshirikiana kwenye mengi na nimegundua ni mtu wa aina gani...shetani ni shetani tuu hata awe na sura nzuri ya kuvutia kama malaika hata akupe kila kitu..sio mwema kwako na daima anania maovu.
Hii ni siku ya mapumziko na ya ibada kwa wengine lakini wengi muda huu wako kazini wakishiriana kufanya kazi na shetani..cha kushangaza ukiwaukiza wanaweza kukana kabisa kumjua wala kumfahamu shetani na huu ndio uhalisia wetu UNAFIQUE
View attachment 393483
View attachment 393484View attachment 393485
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji75] [emoji75] [emoji74] [emoji1]inabidi uanzishe chuo chako mshana uwe unatoa cheti na diploma kuhusiana na haya masuala,kwani unaweza kuloga,unaweza kumtibu muathirika wa uchawi unaweza kufundisha uchawi na jamii zake nk