![]()
![]()
![]()
kwakuwa ni tano kasoro?
Mkuu Teh Teh Teh uzi utawakimbizaHebu weka yako kwakuwa hata wewe ni shetani mwenye sura ya binadamu![]()
![]()
Kuna huu wimbo ulihit sana miaka ya 80.....mojawapo ya beti zake hii hapaMkuu mshana jr nakuelewa sana
Vipi shetani yeye anazungumziaje kuhusu mungu au ( kristo?) Tupe darada kidogo mkuu
Shetani ni dhana ni matendo ni fikra sio umbo sio sura ndio maana kuna mdau hapo akachagiza kwa kutaka picha halisi ya shetani badala ya hizi za kuchoraMkuu mshana jr Shetani ana Rangi gani? . Binadamu wako weusi na Weupe je kuna mahusiano ya Rangi zetu na uwapo wa shetani na Muumba kwa minajili ya utofauti kwenye Rangi.
Ndo alikusaidia kupata lile BMW au?Nimefanya naye mengi kwenye ulimwengu huu pengine kushinda wewe