Nikiri wazi: Namfahamu shetani

Nikiri wazi: Namfahamu shetani

shetani hana sura la kimwili ,ila ana sura ya kiroho nasi hatuna macho ya kiroho hatuwezi mjua ila kwa simulizi shetani ana muonekano unaovutia na alijaliwa sauti mpaka ya 12 ukiaacha hizi 4 walizonazo wanadamu kifupi alikuwa kiongozi wa kumsifu mungu mbinguni na maraika namba moja mwenye akili mingi na mtiifu
 
Satan a beautiful liar
 
Satan a beautiful liar
ur right yesu alimwita baba wa uwongo.
Furthermore inawezekana tanzania nzima shetani hajawahi deal na hata mtu mmoja maana anaserikali kubwa sana inayodeal na mambo mengi mi ninaowajua ni nimrod ambaye anamaarifa mawe ya vito anamuonekano kama katuni lenye rangi,kuna wa fashion ,utajiri ,umaarufu,siasa etc shetan hawezi kujuana na sheikh yahya mtu mdogo serikalini anamalizana naye .mshana kujuana na shetani ni sawa na kijana wa first year mwenye shida ya boom kumjua magufuli kimsingi mkuu wa wilaya atosha ,obama alipewa urais na shetan akawa akisema " yes we can" ukirewind ni thanks satan
Satan a beautiful liar
ur right yesu alimwita baba wa uwongo.
Furthermore inawezekana tanzania nzima shetani hajawahi deal na hata mtu mmoja maana anaserikali kubwa sana inayodeal na mambo mengi mi ninaowajua ni nimrod ambaye anamaarifa mawe ,
 
mshana hivi tunda la mti wa katikati la kujua mema na mabaya ni lipi? bado niko gizani mie ila nahisi kama niiiii.......!------
 
Bado ni fumbo la kiimani lisilo na jibu kamili zaidi ya speculations
 
shetani hana sura la kimwili ,ila ana sura ya kiroho nasi hatuna macho ya kiroho hatuwezi mjua ila kwa simulizi shetani ana muonekano unaovutia na alijaliwa sauti mpaka ya 12 ukiaacha hizi 4 walizonazo wanadamu kifupi alikuwa kiongozi wa kumsifu mungu mbinguni na maraika namba moja mwenye akili mingi na mtiifu
Nani kakudanganya kuwa lucifer a.k.a the morning star hana sura wala mwili?
 
"mistaken belief, misbelief, delusion, false notion, mistaken impression, misapprehension, misjudgment, miscalculation, misinterpretation, misconstruction, error, mistake, untruth, inconsistency, illusion, myth, fantasy, deceit, deception, sophism;sophistry, casuistry, faulty reasoning, unsound argument"
 
Kwa asili shetani ni kiumbe chenye sura nzuri na ya kuvutia mfano wake duniani hamna ila kwa matendo take sisi tunamchukulia kama kiumbe chenye sura mbaya kuliko jambo lisilo kweli ana roho mbaya kutokana na uasi wake moyoni ila kwa sura na maumbile anavutia ila yeye anafurahi sana hivyo tunavyoikosea identity yake kwa inampa nafasi ya kutufanyia illusion kibao
 
Miss kitongoji, miss wowo... Miss Tz... Misunderstanding spiritual phenomenas????
 
Kwa asili shetani ni kiumbe chenye sura nzuri na ya kuvutia mfano wake duniani hamna ila kwa matendo take sisi tunamchukulia kama kiumbe chenye sura mbaya kuliko jambo lisilo kweli ana roho mbaya kutokana na uasi wake moyoni ila kwa sura na maumbile anavutia ila yeye anafurahi sana hivyo tunavyoikosea identity yake kwa inampa nafasi ya kutufanyia illusion kibao
Aaamen... .!!!
 
Back
Top Bottom