Missed kiongozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]za Sikh @mamndenyi
😊😊, Mkuu mimi sio mtu wa kupanik kirahisi, Umeuliza nini maana?chabuso umetafsiri akili kwa kiingereza ila hujatoa maana... Halafu umehukumu bila kuwa na misingi na ithibati... Hebu calm down... Tuelimishane taratibu na kwa weledi huna haja ya kupaniki my brother
Picha ya eve inasisimua sio siri
[emoji4][emoji4], Mkuu mimi sio mtu wa kupanik kirahisi, Umeuliza nini maana?
Nimekujibu kuwa Akili ni uwezo wa mtu kukutumia kiuungo cha mwili kinachoitwa UBONGO..
Nikakutolea na mifano ya watu walioweza kutumia Ubongo wao kwa ufanisi wa hali ya juu kuliko wengine..
Sasa ukisikia mtu ana Akili ndogo maana yake ni kuwa mtu huyo hatumii Ubongo wake ipaswavyo
Na wale wenye akili nyingi ni watu ambao wanatumia Ubongo wao Kwa ufanisi zaidi, wanafikiri zaidi, wanachunguza zaidi, watafute zaidi, wanawaza zaidi, wautuma Ubongo wao kama wanavyovituma viungo vyengine vya mwili wao..
Wale watu ambao mpaka hii leo bado wanaamini mambo ya uchawi, uganga, miujiza, nk, ni watu ambao hawautumii Ubongo wao kisawasawa
Sasa kaka Mshana fanya mpango na sisi tunaotaka kuonana na shetani tumuone aisee, naskia kumenoga huko[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] acha izo...! Labda kama unamsimanga Mzee Yusuph
Wasamehe shule kata zenye utata. Hawajui wapi capital letter inatumika.Sijiiti mshana naitwa Mshana ni jina langu halisi