Nikiri wazi: Namfahamu shetani

Nikiri wazi: Namfahamu shetani

Mshana jr,vitabu vya dini vinatuambia kuwa shetani (lucifer)alikuwa muimbaji mkuu kule mbinguni,hivyo tunaamini alikuwa na sura nzuri pia,sasa inakuwaje picha zake mnatuletea za kutisha hivi?na je shetani alikuwa black?maana sijaona mchoro wa shetani akiwa mzungu.
 
Mimi kwa uelewa wangu shetani ni matendo yetu/yetu binadam
Mfano hai ni mkuu wa kaya wa awam hii, matendo yakishetani ila maneno yake ndio ya ki Mungu. Sasa wewe mkristo wa kweli/Muslim kutwa kusengenya watu, kuhukum wengine, nk
Matendo yetu yaendane na kile tunacho amini. Na kuhubiri,...unahubiri Amani basi wewe uwe mfano wa imani, sio machafuko.
Unahubiri upendo lakini kifua kimejaa chuki na visasi.
Wewe uko sahihi kabisa
 
Mimi binafsi siamini kama shetani Ana sura ya kutisha ndio means wengi ukutana na mashetani na shindwa kuwatambua kwa kuwa wemeweka dhana ya sura ya kutisha, kuufupi shetani na wasaidizi wake walikuwa malaika hivyo bado Wana sura zilezile, kuhusu kujivika sura za kujisha Sina ushaidi ambao mmemona tuambieni
 
No God no Evil.. Be Atheist u wil enjoy your life forever..usijiingize kwenye mambo mawili hapa Duniani. DINI NA SIASA..utakufa bila kuenjoy duniani..wakati ukifa umekufa ndugu..
Kaaaa we baki na unacho amini kaka .Dini na siasa ni uamuzi binafsi wa mtu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengi hatujui kuwa shetani ni mtu wa kula sana bata...labda huyo ni shetani wake

!
!
ndio mi nilishindwa kumuelewa.. .starehe zooote tunaambiwa ni za shetani sasaaa dah huyu ananishangaza. Huenda shetani wa kijijini kwao.
 
Shetani ni roho asiye na mwili ila anaweza vaa umbo lolote kwajili ya kutimiza kazi zake na maranyingi watu wengi wamefanya kazi na mashetani ya ngazi ya chini wakizani ni rusifa
 
No God no Evil.. Be Atheist u wil enjoy your life forever..usijiingize kwenye mambo mawili hapa Duniani. DINI NA SIASA..utakufa bila kuenjoy duniani..wakati ukifa umekufa ndugu..
Ndivyo unavyo danganyika
 
Hivi ungekuwa unamjua ungeleta picha za kuchora?
Mshana kuwa mkweli bwana[emoji1]
Mbona taarifa kutoka kwenye maandiko zinasema hauonekani wala hashikiki?
Ndio maana Mshana kaweka angalizo kuwa kuna kumfahamu na kumjua maana alijua hili litatokea. Yeye amesema anamfahamu shetani.

Kumfahamu ni kuwa na taarifa za huyo mtu/kusikia habari zake/kumuelewa. Kumjua mtu, ni kumwelewa kwa undani, sura, umbo etc.
 
1473062920623.png
Hapo kamalizia kwa kusema alimjua pia. Na amefanya kazi nae
 
Back
Top Bottom