Nikiri wazi: Namfahamu shetani

Nikiri wazi: Namfahamu shetani

Mshana ka vipi toa ile picha ya kwanza. GT mwenzio nala kambale kwa ugali hapa.
 
Mshana ka vipi toa ile picha ya kwanza. GT mwenzio nala kambale kwa ugali hapa.
 
Mshana ka vipi toa ile picha ya kwanza. GT mwenzio nala kambale kwa ugali hapa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
1473011703509.jpg
hii vp
Mshana ka vipi toa ile picha ya kwanza. GT mwenzio nala kambale kwa ugali hapa.
 
Hahahhaaa hiyo avatar yako mkulu
Haya ni mazoezi ya kuimarisha uso huko china ambapo nilipitia. Hapa ni kudhibiti kicha miiba na misumari katika hali yoyote ile. Ni intro tu ya kozi. Ukiona ya kupambana na deraya (maji ya kuwasha) si utatoa macho yote. Achaaaaaaa.
 
SHETANI halipendi jina lake,anapenda kuitwa mkuu,ama master kwa mujibu wafuasi wake
 
Kama umemuona na unamjua huyo si SHETANI bali ni JINI,kuna watu[kiti] wana majin na wanaishi nao wakati mwengne wanaishi kwa matakwa ya majin waliokua nao.
N:B
Shetani haonekani,na kazi yake ni kushawishi tu kufanya mabaya akulazmishi.
 
Mm huwa nasema wengi wao wanajifanya n waokovu kumbe wamechoka kutenda dhambi na shetani
Ewe mungu niepushe na wanafiki wanaojifanya n wachamungu kumbe n wanafiki
Amen
 
Wengi tuwashirika wa shetani wakati fulani,uongo,roho mbaya mchepuko si matakwa ya mungu kabsa.Pengine mkuu alishirikiana kwa kufanya mambo yanayo endana na hayo!
 
Hivi kabisa watu wanajifanya hawamjui shetani wakati hata usiku wa jana walikuwa naye?
 
Hivi ungekuwa unamjua ungeleta picha za kuchora?
Mshana kuwa mkweli bwana[emoji1]
Mbona taarifa kutoka kwenye maandiko zinasema hauonekani wala hashikiki?

Mimi kwa uelewa wangu shetani ni matendo yetu/yetu binadam
Mfano hai ni mkuu wa kaya wa awam hii, matendo yakishetani ila maneno yake ndio ya ki Mungu. Sasa wewe mkristo wa kweli/Muslim kutwa kusengenya watu, kuhukum wengine, nk
Matendo yetu yaendane na kile tunacho amini. Na kuhubiri,...unahubiri Amani basi wewe uwe mfano wa imani, sio machafuko.
Unahubiri upendo lakini kifua kimejaa chuki na visasi.
 
View attachment 393480

Kwa wale wachangiaji wa kukurupuka watofautishe kati ya kujua na kufahamu
Nakiri wazi kabisa kuwa namjua shetani...huyu kiumbe mbaya kabisa mwenye kutisha na kuogofya hasa.

Kwa mara ya kwanza nilimfahamu shetani kupitia maandiko na simulizi kwenye imani imani yangu...nikasoma na kusimuliwa vizuri tu kuhusu hiki kiumbe na jinsi lilivyokaa kimvuto (japo kinatisha sana kwa baadhi ya picha)nikamfahamu shetani kwa njia hiyo
Kilichofuatia ni kumjua shetani...nimekuwa mshirikina waje kwa miaka mingi tumefanya naye kazi pamoja, tuneshirikiana kwenye mengi na nimegundua ni mtu wa aina gani...shetani ni shetani tuu hata awe na sura nzuri ya kuvutia kama malaika hata akupe kila kitu..sio mwema kwako na daima anania maovu.

Hii ni siku ya mapumziko na ya ibada kwa wengine lakini wengi muda huu wako kazini wakishiriana kufanya kazi na shetani..cha kushangaza ukiwaukiza wanaweza kukana kabisa kumjua wala kumfahamu shetani na huu ndio uhalisia wetu UNAFIQUE

View attachment 393483

View attachment 393484View attachment 393485



!
!
yupo kiongozi mmoja wa ngazi za juu sana pia anamjua mno shetani. Aliwahi kusema atawashusha watu wanaoishi kama malaika ili waishi kama mashetani. Hivi maisha ya shetani yakoje mshana jr
 
!
!
yupo kiongozi mmoja wa ngazi za juu sana pia anamjua mno shetani. Aliwahi kusema atawashusha watu wanaoishi kama malaika ili waishi kama mashetani. Hivi maisha ya shetani yakoje mshana jr
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengi hatujui kuwa shetani ni mtu wa kula sana bata...labda huyo ni shetani wake
 
dah kumbe shetani ni mweusi??? na eve ni mweupe!
 
No God no Evil.. Be Atheist u wil enjoy your life forever..usijiingize kwenye mambo mawili hapa Duniani. DINI NA SIASA..utakufa bila kuenjoy duniani..wakati ukifa umekufa ndugu..
Kumtambua au kutomtambua Mungu hakumfanyi Mungu kutokuwepo we jifariji wee lakini pindi unapokufa ndipo utapogundua wewe sio mbuzi au kuku bali ni "mwanadamu"
 
Back
Top Bottom