Ilitakiwa ukisema i love u nae ajibu i love u 2 au vp. Hebu jaribu kumtukana mwambie k*** zako akirejesha jibu k*** zako mwenyewe na majibu mengine ya kulalamika ujue anakupenda ilikuwa bahat mbaya ila still akikujibu kwa shortcuts sjui k thx sio mzima hakupendi
ana mwezio anamjibu majibu mazuri yote
karibu...asante miss chagga
mimi akinijibu p narudia tena kumwambia nakupenda then akijibu k... Namwambia achana na mm ukale hayo ma pk.inawezekana unaomba ushaur bla hata kumwambia mlengwa mchane live kwanza akiendelea chana nyavu amsha zako
Hujui kusoma hata picha huoni??huyo KAKUCHOKA!
Habari zenu wanaJf,
Ebana mimi nna girlfriend, nimedumu nae almost mwaka mzima sasa, lakini kila nikimwambia nampenda au nimemmiss huwa najibiwa majibu kama k, thanx.
Kiukweli haya majibu ya mkato yananikera kweli, na yanakatisha tamaa.
Naombeni ushauri wanaJf
Nifanyaje?

Waswahili wanasema "Mwenye macho haambiwi tazama." Kutokana na maelezo uliyotoa hapo juu ni dhahiri kuwa huyo mwanamke hana hana upendo wa kweli kwako na wala haoni thamani yako wala umuhimu wako kwake. Kumbuka, unaweza kumpeleka ng'ombe mtoni anywe maji lakini kamwe huwezi kumlazimisha ayanywe hayo maji.
Kwani wewe ulitegemea akujibu vipi?
majibu mazuri yasiyo ya kukatisha tamaa
..k2 mkuu..
Acha kumwambia, we kaa kimya. Kwanz ulishawahi kumwambia kuwa hupend hyo tabia yake ya kukujibu hvyo!? Na alikujbu nn
this remind me how my boysfriend used to do, at first he used to tect me like flowing water bt at the and of the time he told me he is busy thus y he cant type any more but at the and of the time we broke
Acha kumwambia, we kaa kimya. Kwanz ulishawahi kumwambia kuwa hupend hyo tabia yake ya kukujibu hvyo!? Na alikujbu nn