Nikimwambia nampenda, najibiwa "K, thanx"!

Sasa umekaa naye for a year unaomba ushauri leo....we vumilia tu eboo.
 
Jarib kumuambia unamchukia...akikujibu k, thankx....jiulize.
 
Kuna watu mna mioyo migumu humu balaa..mwanamke sio lazima akuambie hakutaki live..
 
Ujinga ni kumwambia mtu "Nakupenda" halafu unasubiri jibu wakati hujauliza swali:what:
 
Habari zenu wanaJf,

Ebana mimi nna girlfriend, nimedumu nae almost mwaka mzima sasa, lakini kila nikimwambia nampenda au nimemmiss huwa najibiwa majibu kama k, thanx.

Kiukweli haya majibu ya mkato yananikera kweli, na yanakatisha tamaa.

Naombeni ushauri wanaJf

Nifanyaje?

Jibu unalo moyoni lakini hutaki kuamini. Subiri nikusaidie....Huyo dada hakupendi
 
Habari zenu wanaJf,

Ebana mimi nna girlfriend, nimedumu nae almost mwaka mzima sasa, lakini kila nikimwambia nampenda au nimemmiss huwa najibiwa majibu kama k, thanx.

Kiukweli haya majibu ya mkato yananikera kweli, na yanakatisha tamaa.

Naombeni ushauri wanaJf

Nifanyaje?

Demu wako atakuwa mhaya wewe.
 
Mkuu nawe ni teenager?? Teenager conversations : xaxa, xory, k, xana..... Very boring
Anyway ebu punguza mawasiliano au mchunie uone kama atakutafuta
 
Habari zenu wanaJf,

Ebana mimi nna girlfriend, nimedumu nae almost mwaka mzima sasa, lakini kila nikimwambia nampenda au nimemmiss huwa najibiwa majibu kama k, thanx.

Kiukweli haya majibu ya mkato yananikera kweli, na yanakatisha tamaa.

Naombeni ushauri wanaJf

Nifanyaje?

Pole sana mkuu, mim mwenyewe ilinitokea ivyo nikapiga chini kwa sasa nina mwingine nae akizingua napiga chini nachukua mwingine ndo habar ya mjin
 
Kama mzigo anakupa tu bila shida kwani tatizo nn,hata haina haja ya kumwambia unampenda,labda kashazoea sana kusikia hayo maneno.
 
ata me na wangu alinijib ivo mwanzon mwa mahucano'na nko mwaka mmoja na nusu af miez kaa nane iv cjamwambia nmemic mpak aseme yy
 
Mwambie k welcome. Ukimaliza punguza mawasiliano kwa muda wa mwezi jikaze kisabuni hata kama umemmiss. Akikupigia kuwa brief tu kama upo busy fulani. Na wewe majibu ya k, later! Nite! Morning...! Then piga kimya. kama una umuhimu kwake atakutafuta. Asipokutafuta akajishusha then umepata jibu. U r giving her too much attention na anajua upo tu umekolea sana u can't do nothing! Step back and see... let her miss and appreciate you!
 
Well said mkuu...mleta mada digest this powerful post!
 
Back
Top Bottom