God's son pzoo
Member
- Oct 10, 2015
- 59
- 1
- Thread starter
- #81
...mpe hela
duh, mapenzi ya pesa siyawez muay
...mpe hela
Habari zenu wanaJf,
Ebana mimi nna girlfriend, nimedumu nae almost mwaka mzima sasa, lakini kila nikimwambia nampenda au nimemmiss huwa najibiwa majibu kama k, thanx.
Kiukweli haya majibu ya mkato yananikera kweli, na yanakatisha tamaa.
Naombeni ushauri wanaJf
Nifanyaje?
Dogo mwambie mwenyewe ili ajuwe hisia zako. Hata ukipata ushauri wa kumuacha sio kama umesolve problem, kama umeweza kumwambia unampenda basi najua unaweza kumwambia. Kwanini hajibu anakupenda pia anamalizia na k and thanks?
Mm kama demu nikimtaka anakuja nimgonge ...ata aitikie vp ....i don't care
Habari zenu wanaJf,
Ebana mimi nna girlfriend, nimedumu nae almost mwaka mzima sasa, lakini kila nikimwambia nampenda au nimemmiss huwa najibiwa majibu kama k, thanx.
Kiukweli haya majibu ya mkato yananikera kweli, na yanakatisha tamaa.
Naombeni ushauri wanaJf
Nifanyaje?
Whichever her reasons may be, one thing for sure is,
The relationship is boring!
Ila sababu zinaweza kuwa;
a) Kakuchoka tu, "what u have offer is not enough for what she needs in a boyfriend"(kama wewe ni boyfriend version 1.0 anahitaji boyfriend version 2.0 or higher)
b) Kachoka style yenu ya mambo ya sasa
c) She is lurking upon a potential relationship but she is not confident in him so she can't let u go YET.
d) She might be going through some stuff na akili yote iko huko kiasi kwamba umuhimu wa uhusiano kwake umepungua.
Whatever the reason is, it'll leave you with two options;
1) Kama unampenda sana sana na unadhani she is the one. Basi kuwa naye karibu sana na umchunguze u might find out the reason, uwe tayari kumsaidia arudi kwenye uhusiano ama ku let go if things go wrong.
2) Kama ni mpitaji just get the hell out, u don't want to go down that road dude!
Aisee siku hizi kuna mambo eti version 2. Kwa hiyo unataka kusema jamaa drives zake haziinngiliani na version mpya ya oerating system ya mpenzi wake kwa hiyo ajiupdate?

acha izoo unazingua kinyamaaa
Mwambie tu hupendi hayo majibu. Mimi wangu tulikua kwenye good terms alikua anapenda kujibu hivyo hivyo "K"
Nikamkataza akanyooka.
Huwa wana maanisha 'Okey!'
wewe unabahati xana mimi naambiwa
p
ndo kushnei wee endelea nae mpaka kieleweke 2jue msiba huo utakuwa wa nani
kijana usiogope wala usikatishwe tamaa na ushauri unaopewa humu
huyo ni wako anakupenda sana we muonyeshe upendo mambo mengine yatakaa sawa
kila la kheri