Nikimwambia nampenda, najibiwa "K, thanx"!

Nikimwambia nampenda, najibiwa "K, thanx"!

Majibu hayo yanamaanisha tafuta wako kwani unampotezea timing... Ila pole maana yanakera saaaaaaaaaaana japo wakati mwingine inawezakuwa anakupenda sana ila utoto na ushamba wa simu unamsumbua jambo la msingi mweleze na pia mara moja uangalie na wenzio wanaandikiwaje maana unaweza kufanywa dodoki la kuogea.
 
kwani siku hizi watu bado wanatongoza kwa nakupenda?
 
Majibu hayo yanamaanisha tafuta wako kwani unampotezea timing... Ila pole maana yanakera saaaaaaaaaaana japo wakati mwingine inawezakuwa anakupenda sana ila utoto na ushamba wa simu unamsumbua jambo la msingi mweleze na pia mara moja uangalie na wenzio wanaandikiwaje maana unaweza kufanywa dodoki la kuogea.

shukuran kwa ushaur
 
Kula bati kama mwezi hivi. Akipiga kata simu akituma smes jibu kimkato kuwa i'm busy. Hata kama yupo mkoa atakopa hata nauli atakufuata tu. Michezo midogo sana hiyo kijana ila inahita uwe na roho ngumu ya ceteris peribus

teh teh teh teh, nmeipenda iyo
 
Ilitakiwa ukisema i love u nae ajibu i love u 2 au vp. Hebu jaribu kumtukana mwambie k*** zako akirejesha jibu k*** zako mwenyewe na majibu mengine ya kulalamika ujue anakupenda ilikuwa bahat mbaya ila still akikujibu kwa shortcuts sjui k thx sio mzima hakupendi
 
Habari zenu wanaJf,

Ebana mimi nna girlfriend, nimedumu nae almost mwaka mzima sasa, lakini kila nikimwambia nampenda au nimemmiss huwa najibiwa majibu kama k, thanx.

Kiukweli haya majibu ya mkato yananikera kweli, na yanakatisha tamaa.

Naombeni ushauri wanaJf

Nifanyaje?

mimi akinijibu p narudia tena kumwambia nakupenda then akijibu k... Namwambia achana na mm ukale hayo ma pk.inawezekana unaomba ushaur bla hata kumwambia mlengwa mchane live kwanza akiendelea chana nyavu amsha zako
 

Whichever her reasons may be, one thing for sure is,
The relationship is boring!
Ila sababu zinaweza kuwa;
a) Kakuchoka tu, "what u have offer is not enough for what she needs in a boyfriend"(kama wewe ni boyfriend version 1.0 anahitaji boyfriend version 2.0 or higher)
b) Kachoka style yenu ya mambo ya sasa
c) She is lurking upon a potential relationship but she is not confident in him so she can't let u go YET.
d) She might be going through some stuff na akili yote iko huko kiasi kwamba umuhimu wa uhusiano kwake umepungua.

Whatever the reason is, it'll leave you with two options;
1) Kama unampenda sana sana na unadhani she is the one. Basi kuwa naye karibu sana na umchunguze u might find out the reason, uwe tayari kumsaidia arudi kwenye uhusiano ama ku let go if things go wrong.
2) Kama ni mpitaji just get the hell out, u don't want to go down that road dude!

bado natafuta batan ya like nikugongee
 
Back
Top Bottom