Nikimwambia nampenda, najibiwa "K, thanx"!

Nikimwambia nampenda, najibiwa "K, thanx"!

Habari zenu wanajf,
Ebhana mimi nna girlfriend, nimedumu nae almost mwaka mzima sasa, lakn kila nikimwambia nampenda au nimemmiss huwa najibiwa majibu kama k, thanx, kiukweli haya majibu ya mkato yananikera kweli, na yanakatisha tamaa, naomben ushaur wanajf nifanyaje???

Whichever her reasons may be, one thing for sure is,
The relationship is boring!
Ila sababu zinaweza kuwa;
a) Kakuchoka tu, "what u have offer is not enough for what she needs in a boyfriend"(kama wewe ni boyfriend version 1.0 anahitaji boyfriend version 2.0 or higher)
b) Kachoka style yenu ya mambo ya sasa
c) She is lurking upon a potential relationship but she is not confident in him so she can't let u go YET.
d) She might be going through some stuff na akili yote iko huko kiasi kwamba umuhimu wa uhusiano kwake umepungua.

Whatever the reason is, it'll leave you with two options;
1) Kama unampenda sana sana na unadhani she is the one. Basi kuwa naye karibu sana na umchunguze u might find out the reason, uwe tayari kumsaidia arudi kwenye uhusiano ama ku let go if things go wrong.
2) Kama ni mpitaji just get the hell out, u don't want to go down that road dude!
 
Hapo mmekutana mateenager shida tupu love story nyingi huku unang'atang'ata lips.....unachotakiwa ni kupunguza love story fanya vitendo dhidi ya maneno
 
Huenda akawa amekariri,jaribu kumuanzishia viji-topic visivyohitaji majibu ya "ok" au "thanks" base mkuu kwenye "kwa nn", "kiaje labda" then utajifunza jambo jipya.
 
Habari zenu wanaJf,

Ebana mimi nna girlfriend, nimedumu nae almost mwaka mzima sasa, lakini kila nikimwambia nampenda au nimemmiss huwa najibiwa majibu kama k, thanx.

Kiukweli haya majibu ya mkato yananikera kweli, na yanakatisha tamaa.

Naombeni ushauri wanaJf

Nifanyaje?

this is nonsense , kama wewe una majibu yako unayoyataka si umwambie. Unalazimisha mtu akujibu unavyofikiri?? really nonsense
 
Serious unauliza ufanyaje? ??



Habari zenu wanaJf,

Ebana mimi nna girlfriend, nimedumu nae almost mwaka mzima sasa, lakini kila nikimwambia nampenda au nimemmiss huwa najibiwa majibu kama k, thanx.

Kiukweli haya majibu ya mkato yananikera kweli, na yanakatisha tamaa.

Naombeni ushauri wanaJf

Nifanyaje?
 
Yupo au wapo anae/wanaojibiwa majibu mazuri....fanya kukakaushia wiki kakikaa kimya chapa lapa sio kako hako
kobe-bryant-and-vanessa1.jpeg
 
Mbona muandiko wako na wake vinafanana tu! Au ndio mambo ya BRN!
 
Kula bati kama mwezi hivi. Akipiga kata simu akituma smes jibu kimkato kuwa i'm busy. Hata kama yupo mkoa atakopa hata nauli atakufuata tu. Michezo midogo sana hiyo kijana ila inahita uwe na roho ngumu ya ceteris peribus
 
Back
Top Bottom