Nikimwambia nampenda, najibiwa "K, thanx"!

Nikimwambia nampenda, najibiwa "K, thanx"!

Mwambie k welcome. Ukimaliza punguza mawasiliano kwa muda wa mwezi jikaze kisabuni hata kama umemmiss. Akikupigia kuwa brief tu kama upo busy fulani. Na wewe majibu ya k, later! Nite! Morning...! Then piga kimya. kama una umuhimu kwake atakutafuta. Asipokutafuta akajishusha then umepata jibu. U r giving her too much attention na anajua upo tu umekolea sana u can't do nothing! Step back and see... let her miss and appreciate you!

we genius mkuu, nmekuelewa sana, ngoja nfanyie kazi
 
ndo maan mm nshaag achan na hbr za msg kwny sual seriously km hlo, ni mwend wa kutwang tu.
 
Ujamuelewa tu, unapomwambia unampenda au ume miss maana yake anaunganishia kuwa unaipenda papuchi au ume imiss papuchi. Note papuchi kifupi chake ni K
 
Hahahahahahahah, kwa ushaur Wang jmn me naomb niseme si wanawake unjuwa wengine kupet pet hawajui so sometime anavijibu k or p anaona sawa tu hajui kma anamkwaza mwengine..
 
yupo au wapo anae/wanaojibiwa majibu mazuri....fanya kukakaushia wiki kakikaa kimya chapa lapa sio kako hako

silipendiii li-jei-efu la sikuhizi halina hata kitufe cha laiki ningekubonyezea......tangia liwe-hacked yani halina kabisa kile kitufe...arghhhh...nalichukia kweli

ila nimekupa laiki moja ya nguvu.
 
kabla ya yote unatakiwa ujiulize je kipindi cha nyuma alikuwaje na sasa yupoje,

inawezekana tatizo ni umri kama mdau hapo juu alivyosema, jaribu kumkanya hiyo tabia ukiona hajirekebishi ujue hapo kuna tatizo, ukimwambia mtu unampenda akajibu "k" inatia hasira na inasound kama dharau k means what. cha msingi mkanye
 
mi nawapenda sana hao....coz ni kazi tu...hakuna longolongo....piga miti,.....sepa...kupendana bongo/////

au sio miss chagga
 
Last edited by a moderator:
k inamaanisha nini hii ndio shida ya kutoka na watoto wa shule mpeleke kwanza shule akasome bado mdogo.....ila umefaidi sana mwaka mzima achia na wenzio bhana haijaandikwa jina lako mkuuu
 
silipendiii li-jei-efu la sikuhizi halina hata kitufe cha laiki ningekubonyezea......tangia liwe-hacked yani halina kabisa kile kitufe...arghhhh...nalichukia kweli

ila nimekupa laiki moja ya nguvu.

Ahsante nmeipata teh
 
Mkono mtupu haulambwi.. maneno hayashibishi. Mtumie pesa alafu kaa kimya. Utatumiwa hadi picha za k..
 
kijana usiogope wala usikatishwe tamaa na ushauri unaopewa humu

huyo ni wako anakupenda sana we muonyeshe upendo mambo mengine yatakaa sawa

kila la kheri

sidhabi, wewe pia kua kauzu kwake pia
 

Whichever her reasons may be, one thing for sure is,
The relationship is boring!
Ila sababu zinaweza kuwa;
a) Kakuchoka tu, "what u have offer is not enough for what she needs in a boyfriend"(kama wewe ni boyfriend version 1.0 anahitaji boyfriend version 2.0 or higher)
b) Kachoka style yenu ya mambo ya sasa
c) She is lurking upon a potential relationship but she is not confident in him so she can't let u go YET.
d) She might be going through some stuff na akili yote iko huko kiasi kwamba umuhimu wa uhusiano kwake umepungua.

Whatever the reason is, it'll leave you with two options;
1) Kama unampenda sana sana na unadhani she is the one. Basi kuwa naye karibu sana na umchunguze u might find out the reason, uwe tayari kumsaidia arudi kwenye uhusiano ama ku let go if things go wrong.
2) Kama ni mpitaji just get the hell out, u don't want to go down that road dude!

Mkuu umemaliza mimi sisomi tena kwingine...best advice
 
mambo haya hayana kanuni aisee, kuna wengine ukituma hyo text asubuhi atajibu mchana yuko online na kaisoma, anajibu text endapo tu ye ndo kaanzisha chating, ukichoka ukisema sasa simtumii text analalamika hutumii text yaan ni mwezi mchanga cjui
 
Back
Top Bottom