Nikimwambia nampenda, najibiwa "K, thanx"!

Nikimwambia nampenda, najibiwa "K, thanx"!

Habari zenu wanaJf,

Ebana mimi nna girlfriend, nimedumu nae almost mwaka mzima sasa, lakini kila nikimwambia nampenda au nimemmiss huwa najibiwa majibu kama k, thanx.

Kiukweli haya majibu ya mkato yananikera kweli, na yanakatisha tamaa.

Naombeni ushauri wanaJf

Nifanyaje?

Sasa unahangaika naye wanini? Hapo atakuwa anawaambia wenzake kuwa kuna limtu linajipendekeza haswa. Achana na huyo binti.
 
Habari zenu wanaJf,

Ebana mimi nna girlfriend, nimedumu nae almost mwaka mzima sasa, lakini kila nikimwambia nampenda au nimemmiss huwa najibiwa majibu kama k, thanx.

Kiukweli haya majibu ya mkato yananikera kweli, na yanakatisha tamaa.

Naombeni ushauri wanaJf

Nifanyaje?

Kwanini unahitaji jibu wakati '' nakupenda '' haina alama ya kuuliza kwa hiyo sio swali?

Kuna msemo '' i love you is not a question why you need an answer?''
 
Kama yy binafsi hajakutamkia kukupenda unaomba ushauri upi tena!?
 
Tatizo lako huna hela mkuu ndio maana unajibiwa hivyo.....so acha uisome namba hadi utakapopata pesa.
 
Mwambie umechoka na yeye alafu sikia jibu lake turudushie mrejesho
 
Back
Top Bottom