Nikifahamu unavaa hivi bora urafiki ufe

Nikifahamu unavaa hivi bora urafiki ufe

sio dar tu hata mikoa mingine washaanza huu mtindo nimeona moshi, nimeona mwanga kibaya ni kwamba huwezi mpangia mtu vazi....
 
Acheni usenge wenu mi sio tundazuri
Tatizo lako unaendeshwa sana na mashangazi ya JF akina EVE unakuwa kama FALA mdogo wangu.

Unaniudhigi sana, yaani unapelekeshwa kama msukule.

Mwenyewe unajichekeeshaaaaaa, unawasujudiaaaaaaa!

Mashangazi yale yamo humu toka 2008, we endelea kukenua. Wanakuzaa wale.

Tena wanakuzaa huku wanapiga deki.
 
Ila darslam Kuna mambo mazito mambo yanayotia kichefuchefu macho garika litakuja kuwasomba vibaya nyie 🙆
Juzi namuona mwanaume analia et kisa mwenzie anaoa tf? Hamko serious na jinsia zenu wengine mmmh
 
Back
Top Bottom