Nikifahamu unavaa hivi bora urafiki ufe

Nikifahamu unavaa hivi bora urafiki ufe

View attachment 3428863
baby zu GWAMAKA USWEGE hii ni fashion vaa tembea popote hao wengine ni wazeee humu mtu kajiunga jf 2008 ata weza kuvaa hivi its ur time
Dooo avae tukiwa ndani tena chumbani akija sitting room avae pensi yenye adabu
Mambo ya kumshughulisha binti wa kazi sitaki
Ila pia sisi dini yetu inamkataza mwanaume kuvaa hivi, stara sio kwa wanawake tu hata kwa wanaume
 
Unakuta mwanaume anavaa zake hivi na sendo na vest anaingia zake town alafu hana habari

Kama wewe ni mshkaj wangu bora urafiki uishe maana unakuwa ni utoto na uvulana , mwanaume kamili hawezi kuvaa hiviView attachment 3428835
Kuna jinga moja nililiona Kariakoo kavaa hi na kile kimkoba cha kuvaa begani.., aisee
 
Dooo avae tukiwa ndani tena chumbani akija sitting room avae pensi yenye adabu
Mambo ya kumshughulisha binti wa kazi sitaki
Ila pia sisi dini yetu inamkataza mwanaume kuvaa hivi, stara sio kwa wanawake tu hata kwa wanaume
Ohh ila watu sikuiz wanvaa
 
Back
Top Bottom