Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,342
Mpaka tunavyogawiwa tochi, reflectors,marungu na karanga kwa ajili ya ulinzi shirikishi wa sungusungu, Tanzania 2-Batabukini ooh..nooo,Burkinafaso ya Evelyna wa Aurlus Mabele ni nunge.Yaani sifuri kabisa.