Nikifahamu unavaa hivi bora urafiki ufe

Nikifahamu unavaa hivi bora urafiki ufe

Tatizo lako unaendeshwa sana na mashangazi ya JF akina EVE unakuwa kama FALA mdogo wangu.

Unaniudhigi sana, yaani unapelekeshwa kama msukule.

Mwenyewe unajichekeeshaaaaaa, unawasujudiaaaaaaa!

Mashangazi yale yamo humu toka 2008, we endelea kukenua. Wanakuzaa wale.

Tena wanakuzaa huku wanapiga deki.
Sasa hvi takua nakaza wakubwa...
Now nakaza staki ujinga ujinga mimi nishaona dalili mbaya
 
DIVISHENI FOO unacheka ujinga tuu na wewe bichwa hilo sijui...

Unakuja kwenye uzi wa tetenas unaanza kuongea mambo ya ajabu ajabu 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom