Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,337
Nimkute na tattoos nitamuuliza maswali kuliko baba yake au mwalimu wa malezi bora.Mm nikiona mwanamke kachora tattoo biashara inaishia hapo
Nimkute na tattoos nitamuuliza maswali kuliko baba yake au mwalimu wa malezi bora.Mm nikiona mwanamke kachora tattoo biashara inaishia hapo
Mfano hapa una ziona? Mnakalilishwa vibaya sana GWAMAKA USWEGEUsije kuongozana na bulldogs.Watameza hizo pumbuje!
Wewe leta utani halafu zitafunwe uanze kujiliza ..."eojoo ejoooo gupumbujiko gwangu'...!
NdioHuyu nani ?? Mbona kama ameleft group
Halafu unakuta anaendesha gari la mume wa dada yake, basi anapita sehemu, anapaki gari, akikuta wazee wamekaa anawaona wenzake tu, anawasalimia " za saa hizi"Unakuta mwanaume anavaa zake hivi na sendo na vest anaingia zake town alafu hana habari
Kama wewe ni mshkaj wangu bora urafiki uishe maana unakuwa ni utoto na uvulana , mwanaume kamili hawezi kuvaa hiviView attachment 3428835
Mda wenu ushapita wazeeWewe leta utani halafu zitafunwe uanze kujiliza ..."eojoo ejoooo gupumbujiko gwangu'...!
Mna amua kutuma nyongo 😂Halafu unakuta anaendesha gari la mume wa dada yake, basi anapita sehemu, anapaki gari, akikuta wazee wamekaa anawaona wenzake tu, anawasalimia " za saa hizi"
Haya nimekaa pale navuta goso huku natafuna mbalagha.Mda wenu ushapita wazee
Yeah ni kweli kabisa huwezi kukuta mtu yupo njombe au makete halafu anavaa hivyo anaingia townKuna mkoa mmoja tu hapa Tanzania (jina kapuni) ambapo wanaume wanaweza kuvaa hivyo na kuingia mjini.
Haya nimekaa pale navuta goso huku natafuna mbalagha.
Unakuta mtu kavaa hicho kidude halafu ana vigimbi vimekomaa kama vya goliati (vigimbi mchomoko).Hao ndo wale wanaolia kwenye harusi wanaume wakioa 😎
Astaghifilulah! Mswalie mtume ndugu.Unakuta mtu kavaa hicho kidude halafu ana vigimbi vimekomaa kama vya goliati (vigimbi mchomoko).
Gimbi kama rungu la shetani. Guu lina manyoya kama panya.
Shundu sasa, kitu mbinuko kama aviola.
Akijamba shundu linanesa.
Duuh una hatar weweUnakuta mtu kavaa hicho kidude halafu ana vigimbi vimekomaa kama vya goliati (vigimbi mchomoko).
Gimbi kama rungu la shetani. Guu lina manyoya kama panya.
Shundu sasa, kitu mbinuko kama aviola.
Akijamba shundu linanesa.
Mimi siku za Ijumaa nikiwa naenda shuleni huo ndio uvaaji wangu.Unakuta mwanaume anavaa zake hivi na sendo na vest anaingia zake town alafu hana habari
Kama wewe ni mshkaj wangu bora urafiki uishe maana unakuwa ni utoto na uvulana , mwanaume kamili hawezi kuvaa hiviView attachment 3428835
Inasikitisha sana mkuu 😂Unakuta mtu kavaa hicho kidude halafu ana vigimbi vimekomaa kama vya goliati (vigimbi mchomoko).
Gimbi kama rungu la shetani. Guu lina manyoya kama panya.
Shundu sasa, kitu mbinuko kama aviola.
Akijamba shundu linanesa.
Achana nao hao wazeeMimi siku za Ijumaa nikiwa naenda shuleni huo ndio uvaaji wangu.
Mfano hapa una ziona? Mnakalilishwa vibaya sana GWAMAKA USWEGE