hakuna uchawi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 661
- 679
Kwa maana hiyo unataka kusema kuwa, ni hii inamilikiwa na masonicSHOGAZANGUNI NAOMBA NIWAULIZE KITU. KUNA SIKU NILISHUHUDIA KITU AMBACHO NILIKIONA CHA AJABU NA SIKUKIELEWA.... KUNA MTU HUMU NDANI ALITOA UZI AKAIELEZEA PERFUME YA DIAMOND ILIVYOTENGENEZWA KIFREEMASON, ALIELEZEA KIUNDANI SANAAA. LAKINI CHA AJABU HIYO POST HAIKUKAA DK 5 ILIFUTWA, NA HUYO MTU AKAPEWA BURN
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mbona jamaa kataja makanisa kadhaa, hizi hasira zako kwa RC (Roman Cathoric ) zinatoka wapi!?unazunguka sana sema tu ninachuki na kanisa katoliki tutakuelewa kirahisi sana................
kila aliye na maendeleo, iwe na ya kielimu, iwe ni ya kiuchumi, iwe ni ya kidini iwe ni ya kisiasa....,....
MNAMUUNGA NA MAKUNDI NA MAMBO YA KISHETANI
KAZANENI MBINGU IPO KARIBU......
otherwise pole sana na majukumu mema....,....
Mkuu Eiyer, heshima kwako; hope utakua unaikumbuka ile story ya wale vipofu 2 waliobahatika kumpapasa TEMBO, mmoja alimshika TEMBO sikio lake wakati mwingine alimpapasa mwili wake, wakati wanatoa mrejesho kwa vipofu wenzao kila mmoja alielezea jinsi ukubwa wa tembo ulivyokua, yule aliye shika na kupapasa UPANDE wa sikio alisema, tembo ni mpana kama SAHANI na yule aliye mpapasa mwili wake nae akasema, TEMBO ni mkubwa na mpana kama UKUTA. Hao vipofu wote hakuna aliyeongea UONGO, wote walizungumza sawasawa na findings zao, labda na wewe unaufahamu ukweli wa hili kundi la SIRI, eleza unayo yafahamu ili wote tupate tu ELIMU hi ya hili kundi la SIRI!Kuna mambo mengi sana watu wanapaswa kuyafanyia utafiti bila kuongozwa na hisia zozote zile za kidini au kidhehebu ili waweze kupata ukweli.....
Ukishaona mtu anaona tu kuwa Freemason ndiyokila kitu au Illuminati jua kuna shida mahali kwasababu kuna zaidi ya hapo....
Kwani kuwa binadamu wa kawaida tu kuna tatizo gani? Chande mwenyewe alikufa sasa tutafute ni cha zaidi huko kwa freemason
Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaaaaaa vp kuhusu coment fupi quotes ndefuhii tabia ya ku quote thread ndefu halafu unacoment mstari.mmoja ningeomba mods wawe wanawatunuku BAN tuu maana mnazidi upumbafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia iendayo mbinguni ni nyembamba na Watu waingiao ni wachache sana.unazunguka sana sema tu ninachuki na kanisa katoliki tutakuelewa kirahisi sana................
kila aliye na maendeleo, iwe na ya kielimu, iwe ni ya kiuchumi, iwe ni ya kidini iwe ni ya kisiasa....,....
MNAMUUNGA NA MAKUNDI NA MAMBO YA KISHETANI
KAZANENI MBINGU IPO KARIBU......
otherwise pole sana na majukumu mema....,....
Wanatafutwa waumini wapya kwenye kikanisa chao kime pwaya hakuna wakristu wamekishitukia hawaendi. Sasa kutwa wapo mtandaoni wanatukana makanisa makubw ili wao wainekane wakweli. Wanafiki watupu.
Mtu mmoja ana ID tano anatoa mada anaanza kuchangia.