'You are not choosing freemason, freeamason chooses you'
Nimesahau ni quote ya nani.
Ili freemason wakutake ujiunge ni lazima uwe na ushawishi kwa kiwango fulani duniani.
Mfano Oprah Winfrey akisema anasapoti homosexuals itakua na impact kubwa dunia nzima kuliko Wema Sepetu, Jokate au Yemi Alade wakitamka maneno hayo hayo.
Namaanisha chances zako ni slim.
Grand Lodge ninayoijua na nadhani ndiyo maarufu ipo Posta, ilipo BOT ukiwa unaitazama BoT tembea kuelekea upande wa kulia ni mwendo wa hatua kumi.