Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
Dada, kama umepewa na Mungu yaache otherwise yawe yanauma. Mbona hiyo ni neema? Tena ndio ulipaswa kulingia..!
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji, waache washangilie bila faida, we yatunze tu maana hufanyi makusudi
 
Kuna sketi fulani hivi hazihitaji pasi. Inanyooka kama ruler Zitakufaa
 
Usivae madira au sketi wakati uko street, vaa gauni kubwa kubwa zinaficha mtungi vizuri.
 
Njoo nikuelekeze dawa.....

Sent from my BlackBerry 8520 from south-west Tanzania
 
yaache tu yatikisike kwani kazi ndiyo inaanza!
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Yamelegea kwa sababu ya Kabang so acha kabang yatakaza.
 
Mazoezi tu. google tafuta wataalam wa gym za kike
 
mshukuru mungu kwa hiyo neema uliyonayo, wengine wanaiota ati, jiachie tu mama
 
Fanya mazoezi ya kutembea/au kukimbia kwa umbali mrefu kidogo then fanya sqwating kiasi mpaka unapoona inatosha then unalalia mgogo afu unakuwa kama unainuka kuazia mgogo na kiuno(kama pushup) juu na chini ili hali mwili unazuiwa na mabega na miguu.
Then fanya kuruka ruka iwe kamba au kitu kama stuli unailaza( unaruka) mpaka uone inatosha, then fanya push up ya kuganda kawaida.
Kwa mtazamo wangu itakufaa sana
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Tingisha tu ni halali yako but usiwe unayatingisha kwa makusudi
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Kama upo dar ni pm kuna dawa za jadi nitakusaidia bure
 
natamani niyashike,napenda sana hiyo mizigo dadangu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom