Udugu haufi ila HAKI YAKE WIFI YENU MUMUACHIE!
Mupo?
Udugu haufi ila HAKI YAKE WIFI YENU MUMUACHIE!
Mupo?
mmmmmh sawa tunampa haki zote awe familia yake pekee uliyonayo
Eti haki yake kuingilia ndoa yangu....nayo ape we eti
yaaani Ntuzu kalishwa vya kulishwa
Hayo Ndio matatizo ya Madada! Nikimpenda mke wangu WANASEMA nimelishwa!
Mbona Wewe MURA alitaka kumpiga mama alipokuja kuwasalimia Na Wewe hukumtetea mama AU Na Wewe MURA KAKULISHA VYA KULISHWA?
hahahahahaa ana hamu u know
Noo... miss neddy mdogo wetu tunatakiwa Kuwa mfano kwake....Halafu haya ya mama yetu tukayaongelee chemba
Noo... miss neddy mdogo wetu tunatakiwa Kuwa mfano kwake....Halafu haya ya mama yetu tukayaongelee chemba
nimekumiss!Safi....habari yako Shem?
hivi ni mura yupi huyo mamii?
siwaelwi mjue..!