Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
nenda gereji wakakufanye service.....kimsingi huta vua nguo kuna kifaa maalum kinaitwa grici gun ndo kitatumika kukamilisha zoezi hilo shida kwenye makalio yako vilainishi vimeisha muda wake fika nduvini garage
 
Aisee mkuu Bujibuji mi nilikuwa najua we ni ME kumbe ni KE?
Haya"Shake your ASSet" in davido voice

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Mambo ya dual ID mabaya sana. Mods waliamua kumvua mask. Noma sana. By the way namheshimu sana wa poti Bujibuji
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Nyumba hata iwe nzuri au kubwa kiasi gani kama haina choo si nyumba hiyo! Weye umjaaaaliwa kuwa na choo halafu unakibeza?
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Nilikuwa na dem wangu naye alikuwa. Hivyo hivyo ila alikuwa akivaa jeans inakuwa afadhali ila magaun na sket ilikuwa noma yan mpaka anaona aibu hasa akipita kwenye watu wengi, alichofanya alizoea ile hali maana ni maumbile yake..
 
Watu wengine bana sasa sijui ndio biashara au laa sasa makalio yakwako si inatuhusu nini kwani hujui nguo za kuvaa kama yamekushinda yakate kama vipi niletee
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Kwani bado upo duniani?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom