Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,632
Kwa heshima yako kaka....nasitisha vita hii kwa muda usiojulikana....kwa mume wangu Mentor.....chepuka tu utakavyo...hamhitaji kujificha we na Khantwe......kwa Khantwe....ukiachika nitafanya party... miss neddy nzunae.....nasafiri kidogo...nahitaji mapumziko mafupi
My wifi mwallu usiondoke pliiz....
Last edited by a moderator: