Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,623
Mimi binafsi siendi jela wala mochwari
Last edited by a moderator:
ndoa haina hata mwezi kafungua makucha
Mimi binafsi siendi jela wala mochwari
Uwanubu bulugu, nulu ki!?
Bhulughu .....
Hahahaaaaaaa
Swty Hawa dada zangu wasikupe tabu!
Dawa Yao Mimi naijua! Kesho TUTAKWENDA kuwatembelea ala chukua Na zawadi zao Kabisa!
Nifafanulie tafadhali