mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,215
Anichokonoe na bado nimbembeleze?
Kwanza simtambui
Last edited by a moderator:
Na wifi naona unamchekea....anavurunda unamtetea....alipokua anatafta chimbo ambako wanahisi sitofika hukuona sezae? Na wewe unanitia mashaka
Anichokonoe na bado nimbembeleze?
Kwanza simtambui
Sasa Mungu ampe nini..au amuombe manyaunyau umpr jini
miss chagga.....mAtiii.....??? Unamtambua nani kumbe
Ahaaa.....bas sawa..
Tukikutana...ama zako ama zangu
Tutakutana wapi wakati umesema kwangu huji?
Mmh acha tu wifi mwallu kacharuka balaa af ka miss neddy kanachochea tu moto
Anichokonoe na bado nimbembeleze?
Kwanza simtambui
hahahaha afu ananiiita ka miss haki kweli mwallu hii