Weee bado nakuhitaji hapa jukwaani hapa ujue
Mi nakuhitaji kitandani........
Mi nakuhitaji kitandani........
Mwezi wa toba huuu babu
Hahahaaa!! buji, how comes umeamsha hii thread?
are you you mkuu?
Umeumbwa hivyo, kwa nini utake kuwa ambavyo sio wewe? wanaokupigia miluzi maana yake wamekukubali una shape ya kiafrika. Kama wasisitizam, fanya mazoezi ya kuchoma mafuta. Kama una kauwezo, jiunge na Gym yeyote upewe "cardio" ya makalio. Ni zoezi la kuchoma mafuta ya mwilini, maeneo hayo. Sasakuna uwezekano ukawa na ishu tena na instructor wako kama ni mwanaume.
hahahahahaa ana hamu u know
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Endeleeni tu
Endeleeni tu
Ah mazafanta...wife nimekukubali...!
Good morning to you...